Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Umejichukulia Sheria mkononi Wacha akufunge!wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.
Sasaiv nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chechote Cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Mimi huwa Ni mwepesi kurusha ngumi au kofiAngevuta bangi ungemfanyaje ??.
Kwanza siamini kama kuna mtu ambaye hana uwezo wa kuzuia hisia zake kiasi cha kutumia violence kwa issue ndogo kama hiyo
Ngoja tuonePigia simu watu wa kuja police kukudhamini mkuu mwanakulitafuta mwana kulipata
Best optionSepa apo kwanza Kama una ndugu mkoani panda hakuna kulala hasira zikiisha za mzee Rudi ukae nae kiutu uzima, kaa ata wiki.
All in all kuingia polisi ni bure kutoka Sasa
Wanakera sana wavuta sigara
Hongera mkuu kwa kuifunza adabu hiyo taka taka. Ipo sheria inayokataza kuvuta sigara kwenye umma Adhabu yake nadhani ni Mil 2 au kifungo miezi sita kesho nitaiweka hapa jamvini.wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.
Sasaiv nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chechote Cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Mwanakulipata Hilo,ngoja sero ukalaleNi wapumbavu Sana
Weka sasaiv mkuu. Utakuwa umenisaidia sanaHongera mkuu kwa kuifunza adabu hiyo taka taka. Ipo sheria inayokataza kuvuta sigara kwenye umma Adhabu yake nadhani ni Mil 2 au kifungo miezi sita kesho nitaiweka hapa jamvini.
Wanadhani kwamba kila mtu anapenda hiyo harufuπππwavuta sigara wanazingua basi tu