Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #21
AhsanteAchana nae we tulia hapo hapo wala usiogope huna kosa mkuu huyo mzee ndio mwenye makosa atavutaje sigara hadharani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteAchana nae we tulia hapo hapo wala usiogope huna kosa mkuu huyo mzee ndio mwenye makosa atavutaje sigara hadharani??
Sawa Mzalendo UchwaraHaijalishi utajitetea vipi, hapo jiandae kuliapa au kufungwa. Umechukua sheria mkononi na kumshambulia mwenzako, ni kosa la jinai.
Wataalamu wanasema moshi ule unamuathiri jirani Kuliko mvutaji mwenyeweMoshi ule unamadhara kiafya wataalaam wanasema
Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa za Tumbaku, SuraWeka sasaiv mkuu. Utakuwa umenisaidia sana
AlinikutaNani kamkuta mwenzake hapo kwani?
wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.
Sasa hivi nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chochote cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Ulipaswa kumpeleka mahakamani na kumdai fidia kwa kuhatarisha afya yako. Umeharibu kumpiga...atakupeleka mahakama na atakudai fidia kwa kumdhuru...kesi ya jinai hiyo!wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.
Sasa hivi nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chochote cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Shida ya hiyo Sheria ni jinsi ya kuithibitishia mahakama kuwa huyo mtu alivuta sigara kwenye hadhara ipi kwani yapo maeneo mahsusi yqliyoainishwa na Sheria hiyo. Aende tu mahabusu kwa kumshambulia mzee wa watu na kumdhuru mwili. Miezi 6 itamtosha kubadili tabia yake ya kujichukulia Sheria mkononi!Hongera mkuu kwa kuifunza adabu hiyo taka taka. Ipo sheria inayokataza kuvuta sigara kwenye umma Adhabu yake nadhani ni Mil 2 au kifungo miezi sita kesho nitaiweka hapa jamvini.
Mimi huwa Ni mwepesi kurusha ngumi au kofi
Unakaa kijiwe cha kahawa siku nzima kubishana simba na yanga pumbavwavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu.
Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi mdomoni hadi akatema hiyo Sigara.
Sasa hivi nasubiri nije nichukuliwe maana nasikia ameenda Polisi. Ni mzee wa makomo na ameapa atanifunga. Kama Kuna kifungu chochote cha sheria kinachokataza matumizi ya tumbaku hadharani naombeni ili nijiandae kwa lolote
Pumbavu mamaako. Nani kakuambia nakuwa kijiweni muda wote?Unakaa kijiwe cha kahawa siku nzima kubishana simba na yanga pumbav