Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.
Kete ilianzia hapo.
Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona.
Hii ndiyo ilikuwa target.
nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke

Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?


Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.
Mchongo huo umesukwa coz waliona kuna udhaifu kwako! Coz hata huyo hakimu naya atakuwa kapangwa vilevile! Alipoibukia mahakamani ungekuja mapema kuomba ushauri kabla ya hukumu!

Coz mpaka sasa kuna vitu umekubali kwa maandishi so kukata rufaa inawezekana ila kuna upenyo mkubwa wa kisheria umeutengeza ambao utakukwamisha.
Ushauri:

1) Kwenye mgao wewe utakuwa na sehemu kubwa yeye ndogo. Wewe hutaki nyumba iuzwe. Kama ile asilimia yake in cash utakuwa nayo basi mpe hiyo cash.

2) Samehe coz ni mitihani katika maisha. Chukua hiyo asilimia yako kisha maisha mengine yaendelee.

3) Nenda kwenye kamati za jadi kawalilie!
 
Hatukuwahi kufunga ndoa

Kuna wansheria wataona post yako na watakusaidia ushauri.

Ila bro, kata rufaa kama muda bado uko.
Huyo mwanamke alikuwa anakuja na kuondoka na sio anakaa kila siku.

Cuba: umethibitisha pasipo na shaka kuwa huyo wakili ni ndugu yake?,
Kama bado chunguza, unaweza kuta ni bwana wake na wanataka hela kutoka kwako,
Usikae kizembe bro, dont trust anyone.
 
Uzi ufungwe sasa
 
Mm siyo mwanasheria kitaaluma
Lakini hapo unatakiwa umlipe pesa yenye thaman na mgao wake il nyumba iwe yako. Mfano kama mnagawana 60 kwa 40% . Thaman ya 40% ya nyumba as per evaluation ni shiling ngapi?? Unampa mnamalizana
 
Kama nimeelewa vizuri jamaa hana cha kupoteza,asubiri hiyo tathmini ifanyike then arudi mahakamani kupinga kiwanja chake kuuzwa (kumbuka mahakama inakitambua kiwanja kama mali yake pawe pana nyumba au hapana) huyo mwanamke atamtafuta yeye ampe chochote kitu wamalizane.

Hapo atajipigia anavyotaka yaani atakuwa huru kukataa kila offer anayotaka then yeye atapendekeza ya kwake anayoona inamtosha akiiona ndogo andoe nyumba yake apeleke anakotaka.
 
Ivunjwe mgawane matofali, madirisha ,milango, tiles, na mabati .
 
Hiyo hela sasa anayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…