Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

ulipokosea demi kaleta wakili fasta
Nimemwambia alikosea tangu mwanzo coz mchongo umesukwa kuanzia demu,wakili plus hakimu.Hata rufaa coz of mchongo watamsumbua.Ingekuwa enzi za yule ngosha, kungekuwa na hofu kidogo lakini siyo sasa.
 
Hii ni kweli ndugu yangu na hukumu bado mbichi kabsa
Pole kamanda, mbususu hizi zinatumeza😂
Chukua ushauri wa jaba. Mpe anachotaka kisha temana nae. Utaishi kwa amani kuliko unavyofikiri, mvutano ndio furaha yake. Ila ukiachilia ukampa kila anachotaka kisha uka walk away, wewe utakua mshindi na utaishi kwa amani sana. Itakuumiza kwa muda ila kama ulitafuta ukapata utatafuta tena. Hii life hatukuja kutesana kihisia
 
Jaribu kutumia akili na siyo hisia. Ulitaka nyumba ijengwe angani??? Unafikiri mahakama haijui nyumba inakaa ardhini?? Mpaka hiyo tathmini inapigwa mahakama haijui nyumba ipo wapi???
Punguza hasira na ukali mkuundugu hakim
 
Nimemwambia alikosea tangu mwanzo coz mchongo umesukwa kuanzia demu,wakili plus hakimu.Hata rufaa coz of mchongo watamsumbua.Ingekuwa enzi za yule ngosha, kungekuwa na hofu kidogo lakini siyo sasa.
Jamii forum yote wamesoma makosa madogo madogo wanarekebisha rekebisha my dear usijali Enzo 1988
 
Jaribu kutumia akili na siyo hisia. Ulitaka nyumba ijengwe angani??? Unafikiri mahakama haijui nyumba inakaa ardhini?? Mpaka hiyo tathmini inapigwa mahakama haijui nyumba ipo wapi???
Hayo yote mahakama inayajua ndiyo maana imeamua case ili kuzinufaisha pande zote but kama kutakuwa na upande usioridhika itakuwa tayari kupokea mapendekezo yake that's why zikawepo mahakama za rufaa.

Unatakiwa ujue kazi ya mahakama ni kusimamia haki na sheria mahakama siyo dalali kwamba italazimisha nyumba iuzwe kisa hakuna namna ya mmoja kudai kiwanja chake kilichojengwa nyumba,kama mwenye kiwanja alipanga baada ya miaka 10 apauze kwa Tsh 80,000,000/= leo pana thamani pamoja na nyumba vyote 30,000,000/= unategemea mahakama kumpoka haki yake kwa kulazimisha auze hivyo hivyo?ndiyo maana kwenye kesi za share zisizoonyesha makubaliano ya maandishi baada ya hukumu mahakimu huwashauri wanaoshtakiana next time kuhakikisha wanaingia makubaliano ya kimaandishi kwa sababu wanajua sheria zina udhaifu fulani kuamua kesi za madai ya mdomo.
 
Ukiishi na mwanamke kwenye nyumba moja kwa ung'eng'e tunasema under one roof kwa zaidi ya miaka miwili, muwe na ndoa au la, muwe na watoto au la, uwe ulikua unamla au lah, mahalama inamtambua kama mkeo halali.
Huu ni mtizamo wa bush lawyer tu. Hamna kitu kama hiki. Mahakama ya rufaa ilishatoa hukumu hakuna ndoa za namna hiyo mpaka mgawane mali.
 
Kama hujamuoa huyo mwanamke uza hiyo property halafu jikaushe .
Akikupeleka mahakamani mzungushe wee baade mfanye tathimini ya mchango wake aliotoa kwenye ujenzi wa hiyo nyumba zen mlipe.
Ila wanaume wengine hivi unaanzajeanzaje kujenga nyumba kwa kushirikiana na mwanamke? Ila watu wengine mna moyo.
Mimi kuna mwanamke huko mwanza tuna mtoto yeye alikuwa anafanya kazi benki.
Mimi kutokana na kazi yangu nilikuwa na connection na watu wa halmashauri akina tukae na marehemu kabwe kila wakitangaza wanauza viwanja lazima niloby nipate nikawa na viwanja 3 .
Sasa yule bi dada hakuwahi kupata kiwanja hivyo vya halmashauri sasa akaniambia eti nibadili umiliki wa kiwanja kimoja kisome jina lake ili apeleke hiyo hati ofisini kwao (benki) apewe mkopo ajenge kwenye hicho kiwanja halafu eti baada ya hapo atakuja kuongeza jina langu kwenye hiyo hati mimi wakati huo tayari nina nyumba yangu hapo mwanza.
Kusema kweli nilimkatalia nikamshauri anunue jamaa wa halmashauri walikuwa wanajimilikisha viwanja hakafu baadae wanauza bei ndogo tu yeye akawa anang'ang'ania cha kwangu akibadilishe akakope ndipo atapata hela.
Kusema kweli alishindwa kunishawishi yaani ikabidi tuachane mazima manake alikuwa analalamika simuhamini wakati tuna mtoto
 
Kwan uko wap?
Mpenz unagawana nae Mali?.
Kwan mmezaa?.
Kukaa tu miaka miwili tu ndio wamekushindia.

Aisee kata Rufaa. Kesi isogee mbele.

Mm nikajua ni mke wa ndoa
Utakuwa huijui sheria ya ndoa ya mwaka 1971 wewe! Nenda ukaisome vizuri. Sasa huyu kakaa naye miaka miwili mpaka wamejenga nyumba pamoja hata iweje hachomoki!
 
Back
Top Bottom