Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

Umesikia wapi kwamba huyo jamaa alikuwa na ndoa ya Kikristo?
Kuna watu uwezo wao wa kusoma na kuelewa unafikirisha sana.
Unajiuliza huyu aliwezaje kuhitimu shule ya msingi au ni msongo wa mawazo unawakosesha umakini?
 
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.

Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama imeona tumechuma pamoja lakini mahakama hiyohiyo amejiridhisha kuwa kiwanja ni mali yangu peke yangu. Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona. Mimi sitaki kuuza kiwanja changu ambacho mahakama pia imedhibitisha kuwa ni mali yangu pekee yangu ila nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke. Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?
katika hiyo miaka miwili muliyoishi alikuta wewe hujaanza kujenga au uko katika stage gani ya ujenzi?

Maana ikiwa amekukuta tayari umeanza kujenga, ina maana thamani ya kiwanja na mpaka hapo ulipofikia iongezwe kwako.

Ila hapo pia naona kuna namna kwani sijawahi kusikia mtu mumeishi miaka miwili anadai mgawanyo wa mali. Huo ni utapeli kwa kwenda mbele.
 
Kuna watu uwezo wao wa kusoma na kuelewa unafikirisha sana.
Unajiuliza huyu aliwezaje kuhitimu shule ya msingi au ni msongo wa mawazo unawakosesha umakini?
Hili nalo ni tatizo mkuu! Wacha tu WaKenya watutukane kwa kweli! Halafu unakuta jitu kama hilo nalo ni graduate kabisa!
 
Wew jamaa mwanamke kashakuona n kilaza huna mtoto nae na hujafunga nae ndoa mnagawanaje Mali changamsha akili hiyo
 
Hapo naona kuchomewa nyumba live....huyo mwanamke anaweza fanya lolote....
Na huyo mwanasheria sio ndugu yake ni bwana ake...
 
Kata rufaa acha Kugeuzwa chuma uleta na malaya wa mjini, hapo akiondoka labda aondoke na makochi na vyombo vya ndani kama vijiko,sahani na masufulia
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.

Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama imeona tumechuma pamoja lakini mahakama hiyohiyo amejiridhisha kuwa kiwanja ni mali yangu peke yangu. Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona. Mimi sitaki kuuza kiwanja changu ambacho mahakama pia imedhibitisha kuwa ni mali yangu pekee yangu ila nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke. Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?
 
Ukikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.
Kumbe nikiwa naleta malaya mara moja moja kwangu naye atahesabika ni mke wangu? Hizi sheria za kipuuzi waziangalie, kama mtu hana uthibitisho wa cheti cha ndoa ana ushahidi gani kama alikuwa ni mke wangu?
 
Mpenzi au mke mkuu?? Hivi mpenzi anaweza kudai mgawane mali mkiachana? watu wa sheria naomba kujua maana nimeogopa sana.
 
Kwan uko wap?
Mpenz unagawana nae Mali?.
Kwan mmezaa?.
Kukaa tu miaka miwili tu ndio wamekushindia.

Aisee kata Rufaa. Kesi isogee mbele.

Mm nikajua ni mke wa ndoa
point kabisa wakugawana naye mali ni mke tu mwenye cheti cha ndoa
 
Relationships , ndoa , zimekua bladfaken sana siku hizi ..sijui tunaelekea wapi, ndio mana saivi sishangai kukuta binti kaweka profile ya mdada au status akisema ni mume wake wa maisha ama mke wake ama mpenz wake wa maisha ...vivyo.hivyo kwa men, ...

Tafuta valuer athaminishe hio nyumba, bei inayopatikana utafute hio hela nusu yake mpe ...kama unataka kukeep kiwanja+nyumba , tofauti na hapo we funika kombe mwanaharamu apite...mali kitu Gani bwana...uhai wako ndio wa thamani, tafuta valuer athaminishe vyote kwa pamoja nyumba na kiwanja , piga bei, gawana na huyo kiazi, pita hivi kila mtu atokomee kusikojulikana.
 
Pia NecZec ukithibitisha pia kuwa Wakili ni ndugu yake, kata rufaa kuwa Wakili ana maslah binafsi na mteja wake.

Kithibitisho unaonyesha Mahakama kuwa wana undugu wa karibu na wakili.
Conflict of interest
Hapo sidhani kama kuna shida, kwa sababu wakili anatetea maslahi ya mteja wake. Haijalishi hata kama mdada anagongwa na wakili.
 
Kumbe nikiwa naleta malaya mara moja moja kwangu naye atahesabika ni mke wangu? Hizi sheria za kipuuzi waziangalie, kama mtu hana uthibitisho wa cheti cha ndoa ana ushahidi gani kama alikuwa ni mke wangu?
Hapa hapo mahakama haiwezi kuona dhana ya ndoa ipo kati yenu.
Lazima muishi pamoja kama mume na mke kwa muda wa miaka 2 au zaidi.
 
Back
Top Bottom