Kuna watu uwezo wao wa kusoma na kuelewa unafikirisha sana.Umesikia wapi kwamba huyo jamaa alikuwa na ndoa ya Kikristo?
katika hiyo miaka miwili muliyoishi alikuta wewe hujaanza kujenga au uko katika stage gani ya ujenzi?Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.
Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama imeona tumechuma pamoja lakini mahakama hiyohiyo amejiridhisha kuwa kiwanja ni mali yangu peke yangu. Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona. Mimi sitaki kuuza kiwanja changu ambacho mahakama pia imedhibitisha kuwa ni mali yangu pekee yangu ila nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke. Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?
Hili nalo ni tatizo mkuu! Wacha tu WaKenya watutukane kwa kweli! Halafu unakuta jitu kama hilo nalo ni graduate kabisa!Kuna watu uwezo wao wa kusoma na kuelewa unafikirisha sana.
Unajiuliza huyu aliwezaje kuhitimu shule ya msingi au ni msongo wa mawazo unawakosesha umakini?
kasome mwanamke ukikaa nae mda gani huyo n sawa na mkeo mkuuUnagawana mali na mwanamke hana cheti cha ndoa? Inawezekana vipi hii?
Huyu ni Jambazi....au ulimpotezea sana muda ukamwacha anaona akukomoeHatujazaa
Hukuwa na mwanasheria?.Hatukufunga ndoa
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.
Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama imeona tumechuma pamoja lakini mahakama hiyohiyo amejiridhisha kuwa kiwanja ni mali yangu peke yangu. Sasa mahakama imeagiza nyumba iuzwe tugawane kwa asilimia ambazo mahakama imeziona. Mimi sitaki kuuza kiwanja changu ambacho mahakama pia imedhibitisha kuwa ni mali yangu pekee yangu ila nyumba ambayo imejengwa ndio imeonekana tumechangia kujenga na huyo mwanamke. Je hii hukumu itatekelezeka vipi kisheria maana ndio tunasubili uthamini?
Aondoke tu na NIDA yake au sio 😂😂bora uoe unakila kitu,ili kama akizingua aende kama alivyokuja
Kumbe nikiwa naleta malaya mara moja moja kwangu naye atahesabika ni mke wangu? Hizi sheria za kipuuzi waziangalie, kama mtu hana uthibitisho wa cheti cha ndoa ana ushahidi gani kama alikuwa ni mke wangu?Ukikaa na mwanamke kwa muda fulani huku mkipeana huduma za wanandoa kisheria inahesabika mpo kwenye ndoa hata kama hamjafunga ndoa rasmi.
point kabisa wakugawana naye mali ni mke tu mwenye cheti cha ndoaKwan uko wap?
Mpenz unagawana nae Mali?.
Kwan mmezaa?.
Kukaa tu miaka miwili tu ndio wamekushindia.
Aisee kata Rufaa. Kesi isogee mbele.
Mm nikajua ni mke wa ndoa
Hsitawezekana, kuanzia anapoingia inaanza kutiki kila kiingiacho hata chumvi na pilipili na mtagawana mwisho wa siriizi. The Endbora uoe unakila kitu,ili kama akizingua aende kama alivyokuja
Hapo sidhani kama kuna shida, kwa sababu wakili anatetea maslahi ya mteja wake. Haijalishi hata kama mdada anagongwa na wakili.Pia NecZec ukithibitisha pia kuwa Wakili ni ndugu yake, kata rufaa kuwa Wakili ana maslah binafsi na mteja wake.
Kithibitisho unaonyesha Mahakama kuwa wana undugu wa karibu na wakili.
Conflict of interest
Jinga sana wewe🤣🤣Mwambie achukue vyumba vyake aondoke
Hapa hapo mahakama haiwezi kuona dhana ya ndoa ipo kati yenu.Kumbe nikiwa naleta malaya mara moja moja kwangu naye atahesabika ni mke wangu? Hizi sheria za kipuuzi waziangalie, kama mtu hana uthibitisho wa cheti cha ndoa ana ushahidi gani kama alikuwa ni mke wangu?