Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

Nacheka utadhani mazuri!
1. Inawezekana ana tatzo la fangasi, au maambukizi sehemu za siri.

2. Usimuwazie mabaya ukajikuta unaua mtoto wa mtu bure

3. Mpeleke mkeo hospitali akapimwe inawezekana kabisa ana tatzo la kiafya

LAKINI KWA NINI PAKANDWE NA MAJI SIJUI YA MOTO AU BARIDI
-anyway ukishakuwa mwanaume mambo kama hayo kutokea ni kufikia, piga moyo konde, kuwa na kifua, meza mate, piga hatua kumi mbele
 
tea-theboythatwas.gif
 
Wahuni waliichapa/waliibabua/waliitafuna/waliilomba bila huruma , hakuna jibu jengine
 
Back
Top Bottom