Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Gahawa hii..
Hatari tupu.Wanawake bhana
Kumbe Upo! Nilidhani likizo ya uzazi ishaanza
😂😂😂😂Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
Umempendelea hii haitoi moshi kabisa. Ya baridiii.
Umempendelea hii haitoi moshi kabisa. Ya baridiii.
Oyaa we jamaa ni mnafiki kinoma 😅😅Nacheka utadhani mazuri!
1. Inawezekana ana tatzo la fangasi, au maambukizi sehemu za siri.
2. Usimuwazie mabaya ukajikuta unaua mtoto wa mtu bure
3. Mpeleke mkeo hospitali akapimwe inawezekana kabisa ana tatzo la kiafya
LAKINI KWA NINI PAKANDWE NA MAJI SIJUI YA MOTO AU BARIDI
-anyway ukishakuwa mwanaume mambo kama hayo kutokea ni kufikia, piga moyo konde, kuwa na kifua, meza mate, piga hatua kumi mbele
Amkutana na mhogo Jang'ombe!Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.