Hahahaha umetufungua machoHaya ndio matokeo ya kutaka kuoa single mother. Yaani kila single mother ukimchunguza utagundua kuna kakitu fulani hivi kautata anacho kwenye maisha yake.
Sishauri kijana yoyote aliyetulia kukimbilia kuoa single mother.
Daah mkuu umetisha sana.... Maana yeye anajiona ni binadamu wa grade one.... First class... Very classic kabisa.... Umemwambia ukweliSingle maza eti anakasirika kuwa mke wa pili, yaani wewe hata ukiolewa kama mke wa nne inabidi ushukuru, wewe ni bidhaa iliyotumika. Ona sasa umepiga teke bakuli la uji kwa ujinga wako, endelea kupiga miayo kistaarabu....hatutaki makelele.
Siku nyingine uwe unasoma Comment zote kabla ya kuweka ya kwakoMungu amekuepusha na janga kubwa sana huko mbeleni. Achana na huyo mchumba, ndio nimeandika hivyo wala sijakosea kwamba ACHANA NA HUYO JAMAA.
Kwa nini nasema hivi? Sababu kuu ni hizi hapa:
1. Umekiri mwenyewe kwamba kuna kitu alikuambia ambacho baada ya kumshirikisha mama yako alikugomea kabisa kuolewa na huyo jamaa na hata process za ndoa hajashiriki. That means hio kasoro aliyonayo huyo jamaa ni kubwa sana na haivumiliki sema ww utakuwa desperate na ndoa ndio maana umejitoa akili. Mzazi ni mzazi, amezaliwa kabla yako, kaona mengi na akikataa kitu jua kashajua kabisa hapo hamna mwisho mzuri.
2. Jamaa alishawahi kuchumbia kwingine lkn hakuoa. Sasa jiulize kwa nini hakuoa baada ya kuchumbia! Na kwako amejitahidi lkn mmeishia kwenye kutambulishana tuu, siku ya mahari ndio yametokea hayo. That means huko kwao ndio kuna shida mahali. Kaa naye chini muongee vzr akueleze vzr shida iko wapi.
Kingine ukitaka kupata ushauri mzuri eleza kinagaubaga kila kitu, acha kufichaficha, hata hiko kitu ulichosema huwezi kusema we sema tuu ili upewe ushauri unaoeleweka.
Unforgetable
Pole Sana, Ni vigumu Sana kuwekana sawa eti muoanae(kurudiana inawezekana maana mwamba akikumbuka mlivokuwa mnapelekeana Moto anaweza akafanya kukurudia Kitu ambacho mwanaume makini hatakiwi kukifanya)Nakubali makosa kuna muda najifungia nataman hata Kunywa sumu
Aiseee... kwanza aliyezaa nae yupo wapi? Tuanzie hapo kwanzaEti jamaa alishaanza hadi kumsomeshea mtoto, sijui naye ni bwege nazi gani tu... bora amedhalilishiwa ndugu zake huenda akazinduka!
Haya ndio matokeo ya kutaka kuoa single mother. Yaani kila single mother ukimchunguza utagundua kuna kakitu fulani hivi kautata anacho kwenye maisha yake.
Sishauri kijana yoyote aliyetulia kukimbilia kuoa single mother.
MwelezeKwanini mlivyopata habari jamaa kaoa hamkuwaambia wahusika ili wasitishe safari? Wewe na ukoo wako mnatabia mbaya
Tena mpumbavu sana huyu. Mshenzi kabisaUlivopata habari tu kama kaoa ama la ungemface kumuuliza, upumbavu ni wako...
Huyo mama yako ni kilazaSend off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 kutoka mbeya , nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika kahama,
Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba Nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakua nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndo mama akakazania kwamba lazima wajue, nikansihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Kaka usilegeze msimamo huyu singo maza hajielewi, sio bure aliye mzalisha haku muoa. Hata ukiishi nae atakutesa maana nimkurupukaji.Wewe endelea na maisha yako, nimekuona hufai hata kidogo na huna sifa ya kua mke,kwa nini ulipo sikia jambo la aina hiyo hukuniuliza, unamaansha hata tukianza kuishi watu wakakuletea habari za uongo utaondoka mara moja huna akiri kabisa, halafu unakuja hapa jamvini kuanika upupu wako unazani mm sipo humu jamvini? Umenisababishia hasara kubwa pia umeniaibisha mimi, na familiy yangu mama yangu mpaka amekonda kwa ajili ya ujinga wako, nimeumia sana ila mungu atanipa mke mwema, pia inawezekena mungu kaniepushia jambo hapa,kwenda zako tena sitaki hata kukuona niache niendelee na maisha yangu.