Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

Naomba ushauri nimewakosea sana wanaoenda kuwa wakwe zangu kutokana na mkanganyiko wa familia yangu/Sikutokea siku ya Send off

'Amaboko atalesha na alamkanya' in Hangaza tongue. Shemeji, yaani pamoja na kuwa single mother, mshikaji kasema poa, atakuoa iwe siri yenu. Sasa wewe rumours tu, ukamwaga bakuli la karanga, na mgoligoli kwa teke? Shemeji, bahati ni mara moja jaribu kwa mwingine. Wape salamu wa Kabulanzwiri.
 
Bora hata jamaa hajakuoa,
Mana unaakili fupi.
Ingawa nahisi harufu ya mama yako kukuchezea usifanikiwe kuolewa mana alikwisha sema hivyo
 
Vya kuambiwa havujawahi kumuacha mtu salama ahahahahaha .....waambie tu ukweli
 
Hz ndo shida za kutojadiliana issue 'specific' na mhusika

siku umepata taarifa kuwa ashaoa mbona hukumuuliza yeye au mama/baba yake wakueleze ukweli?.

kususia sendoff wewe na familia yenu wote kisa tu mawasiliano sijawaelewa kwa kweli
 
Haya ndio matokeo ya kutaka kuoa single mother. Yaani kila single mother ukimchunguza utagundua kuna kakitu fulani hivi kautata anacho kwenye maisha yake.

Sishauri kijana yoyote aliyetulia kukimbilia kuoa single mother.
 
Haya ndio matokeo ya kutaka kuoa single mother. Yaani kila single mother ukimchunguza utagundua kuna kakitu fulani hivi kautata anacho kwenye maisha yake.

Sishauri kijana yoyote aliyetulia kukimbilia kuoa single mother.
Hahahaha umetufungua macho
 
Single maza eti anakasirika kuwa mke wa pili, yaani wewe hata ukiolewa kama mke wa nne inabidi ushukuru, wewe ni bidhaa iliyotumika. Ona sasa umepiga teke bakuli la uji kwa ujinga wako, endelea kupiga miayo kistaarabu....hatutaki makelele.
Daah mkuu umetisha sana.... Maana yeye anajiona ni binadamu wa grade one.... First class... Very classic kabisa.... Umemwambia ukweli

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Mungu amekuepusha na janga kubwa sana huko mbeleni. Achana na huyo mchumba, ndio nimeandika hivyo wala sijakosea kwamba ACHANA NA HUYO JAMAA.

Kwa nini nasema hivi? Sababu kuu ni hizi hapa:

1. Umekiri mwenyewe kwamba kuna kitu alikuambia ambacho baada ya kumshirikisha mama yako alikugomea kabisa kuolewa na huyo jamaa na hata process za ndoa hajashiriki. That means hio kasoro aliyonayo huyo jamaa ni kubwa sana na haivumiliki sema ww utakuwa desperate na ndoa ndio maana umejitoa akili. Mzazi ni mzazi, amezaliwa kabla yako, kaona mengi na akikataa kitu jua kashajua kabisa hapo hamna mwisho mzuri.

2. Jamaa alishawahi kuchumbia kwingine lkn hakuoa. Sasa jiulize kwa nini hakuoa baada ya kuchumbia! Na kwako amejitahidi lkn mmeishia kwenye kutambulishana tuu, siku ya mahari ndio yametokea hayo. That means huko kwao ndio kuna shida mahali. Kaa naye chini muongee vzr akueleze vzr shida iko wapi.

Kingine ukitaka kupata ushauri mzuri eleza kinagaubaga kila kitu, acha kufichaficha, hata hiko kitu ulichosema huwezi kusema we sema tuu ili upewe ushauri unaoeleweka.

Unforgetable
Siku nyingine uwe unasoma Comment zote kabla ya kuweka ya kwako

Nimemaliza
 
Nakubali makosa kuna muda najifungia nataman hata Kunywa sumu
Pole Sana, Ni vigumu Sana kuwekana sawa eti muoanae(kurudiana inawezekana maana mwamba akikumbuka mlivokuwa mnapelekeana Moto anaweza akafanya kukurudia Kitu ambacho mwanaume makini hatakiwi kukifanya)

Hata ukirudiananae atakupotezea mida tu maana hawezi Tena kuwaambia wazazi wake eti anataka kukuoa wewe.

Cha kufanya hapo tafuta tu mwanaume mwingine na usijilaumu Sana kwa kilichotokea muda utapita utaishi maisha ya furaha tena.
 
Ila niwe mkweli tu, Binafsi mimi ndo ningekua huyo jamaa........................
 
Imeisha hiyo ikirudi pancha.

Omba msamaha kiubinadamu tu na kuwaweka wazi kwa nini uliamua vile. Na ondoka bila kugusia maswala ya ndoa jamaa ndio ataamua lakini usiweke matumaini
 
Haya ndio matokeo ya kutaka kuoa single mother. Yaani kila single mother ukimchunguza utagundua kuna kakitu fulani hivi kautata anacho kwenye maisha yake.

Sishauri kijana yoyote aliyetulia kukimbilia kuoa single mother.

Sema single mama wanajua kujiweka, huyu naye ni bwege sijui niaje tu... niliwahi kunasa kwa jimama. Japo nilijinasua ila haikuwa rahisi.
 
Wewe na Familia yako wote Hamna Akili na ni Wapumbavu. Naishia hapa kwa sasa

Enewei, Safari ya Mbeya to Ngaramujini mchezo!? Unajificha na kuzima siku!? Kmmmk
 
Mkurupukaji utamtesa kijana wawatu. Pia uso wako utauweka wapi ukienda kwenye hiyo familia.?!!!!
 
Send off ilikuwa tarehe 10 taarifa zinatoka tarehe 8 wakati wameanza safari tarehe 7 kutoka mbeya , nilimtext mvulana kuwa wasitishe wakati huo wameshafika kahama,

Suala ambalo mama na mimi tulitofautiana ni baada ya kumweleza mchumba wangu kwamba Nina mtoto akasema mi ndo naoa kwakua nimekukubali ukiwa na mtoto hakuna shida ila akaomba mtoto atamlea na kumsomesha na ameshamlipia ada ya primary one ya mwaka mzima niwe mkweli, ila akanisihi nisiwajulishe kwao kama mi nina mtoto, hapo ndo mama akakazania kwamba lazima wajue, nikansihi mama kwamba anayenioa kashamkubali mtoto na anamhudumia ila kwao wataleta mapingamizi nikiwaambia muda huu, hivyo kasema tutawaambia mbeleni, mziki ukaanzia hapo mama akajitoa
Huyo mama yako ni kilaza
 
Wewe endelea na maisha yako, nimekuona hufai hata kidogo na huna sifa ya kua mke,kwa nini ulipo sikia jambo la aina hiyo hukuniuliza, unamaansha hata tukianza kuishi watu wakakuletea habari za uongo utaondoka mara moja huna akiri kabisa, halafu unakuja hapa jamvini kuanika upupu wako unazani mm sipo humu jamvini? Umenisababishia hasara kubwa pia umeniaibisha mimi, na familiy yangu mama yangu mpaka amekonda kwa ajili ya ujinga wako, nimeumia sana ila mungu atanipa mke mwema, pia inawezekena mungu kaniepushia jambo hapa,kwenda zako tena sitaki hata kukuona niache niendelee na maisha yangu.
Kaka usilegeze msimamo huyu singo maza hajielewi, sio bure aliye mzalisha haku muoa. Hata ukiishi nae atakutesa maana nimkurupukaji.
 
Back
Top Bottom