Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Dah....aise๐๐๐๐๐Umesema ni singo mama mwenye miaka 29 si ndiyo!![emoji276]
Ni bahati iliyoje kumpata mnunuzi wa gazeti jioni namna hiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....aise๐๐๐๐๐Umesema ni singo mama mwenye miaka 29 si ndiyo!![emoji276]
Ni bahati iliyoje kumpata mnunuzi wa gazeti jioni namna hiyo!
Ni mafala,Kwanini mlivyopata habari jamaa kaoa hamkuwaambia wahusika ili wasitishe safari? Wewe na ukoo wako mnatabia mbaya
Dah....aise[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Single maza eti anakasirika kuwa mke wa pili, yaani wewe hata ukiolewa kama mke wa nne inabidi ushukuru, wewe ni bidhaa iliyotumika. Ona sasa umepiga teke bakuli la uji kwa ujinga wako, endelea kupiga miayo kistaarabu....hatutaki makelele.
Amefeli sana.....jamaa alikuwa anafanya hisani kubwa sana kwake.Mzee, ni nani awezaye kununua gazeti jioni? Labda mama muuza chapati!!
Amefeli sana.....jamaa alikuwa anafanya hisani kubwa sana kwake.
Kuolewa mke wa pili ni kosa?Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Duh! Una uwezo mdogo wa kufikiri, uwezo mdogo wa kufanya maamuzi, Ni rahisi kuyumbishwa.
Maumivu uliyompa huyoo kijana Ni hatari.
Ivi send-off huwa inaandaliwa upande wa mke au mume? Sijaelewa hapo
Kwa sasa jamaa settings za ubongo zimerudi katika factory setting.....๐๐๐Eti jamaa alishaanza hadi kumsomeshea mtoto, sijui naye ni bwege nazi gani tu... bora amedhalilishiwa ndugu zake huenda akazinduka!
Inaonekana umwkurupuka kuchagua hoja. Jifunze Musoma comments kabla ya kukimbilia kupost.Mungu amekuepusha na janga kubwa sana huko mbeleni. Achana na huyo mchumba, ndio nimeandika hivyo wala sijakosea kwamba ACHANA
Hahahaha kwa sifa za upole mwanaume aliyemsemea sidhani kama utakuwa ni wewe.Wewe endelea na maisha yako, nimekuona hufai hata kidogo na huna sifa ya kua mke,kwa nini ulipo sikia jambo la aina hiyo hukuniuliza, unamaansha hata tukianza kuishi watu wakakuletea habari za uongo utaondoka mara moja huna akiri kabisa, halafu unakuja hapa jamvini kuanika upupu wako unazani mm sipo humu jamvini? Umenisababishia hasara kubwa pia umeniaibisha mimi, na familiy yangu mama yangu mpaka amekonda kwa ajili ya ujinga wako, nimeumia sana ila mungu atanipa mke mwema, pia inawezekena mungu kaniepushia jambo hapa,kwenda zako tena sitaki hata kukuona niache niendelee na maisha yangu.