Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKwanini mlivyopata habari jamaa kaoa hamkuwaambia wahusika ili wasitishe safari? Wewe na ukoo wako mnatabia mbaya
Kweli hasira hasara.waliomshauri akaekimnya basi wamshauri pia aombe msamahaKwanini mlivyopata habari jamaa kaoa hamkuwaambia wahusika ili wasitishe safari? Wewe na ukoo wako mnatabia mbaya
Achana nae huyu? Yaan unasikia rumours alaf unaamua kwa hasira....HAFAI KUOLEWA KABISA ,MWANAMMKE WA NAMNA HIII BUREEEE KABISA HAFAI HATA KUOELEWA NA SHETANI......ajioe mwenyeweYaelekea we si Mke Bora kabisa
1.Kwanini hukuwaeleza waaitishe safari?
2.Kuna jambo unasema mama yako hakuliafiki ni lipi?
3.Tatu unahisi hata ukisamehewa wazee wa ukoo ule watakuchukuliaje pindi wakipishana na we we?
4.Una uhakika huyo bwana harusi hajapata mwingine wa kuendelea na mpango mwingine?
Tujibu
Kama kawa tabia za kitutsi kupenda kujisikia na kujiona miungu watuKwanini mlivyopata habari jamaa kaoa hamkuwaambia wahusika ili wasitishe safari? Wewe na ukoo wako mnatabia mbaya
Hufai hata kushauriwa,Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Singo maza mtarajiwa,muendesha boda anasubiri tu kwenye konaUmechezea fursa ya kuolewa kwa ujinga wako mwenyewe..
SijamlaumPole sana na ninajua huyo mjomba wako unamlaumu sana na baba zako walikuwa sawa maana walitaka kumuenzi baba yako ambaye kwa maelezo yako hayupo hivyo walitaka kumaliza majukumu ya kaka yao..
Sidhani kama Kosa moja Laweza sababisha nayo?Pole sana kwa yaliyokukuta ila;
- Familia yenu ipo so disorganized kiasi kwamba mmepokea rumours tu, rumours tu zikawafanya wote as a family kuahirisha jambo kubwa la namna hiyo.
- Wewe hufai kuwa mke wa mshkaji kwa sababu baada ya mjomba kusema hivyo, kwa nini usimtafute mchumba na kuuliza mwenyewe hayo uliyosikia na ukweli wake.
Mwisho, ingekuwa mimi ningekusamehe kiroho safi lakini nisingekuoa, you're unfit to be a wife.
Nimeshaomba msamaha Sana kwa kikichotokeaKwa Ufupi endelea na maishaa yako tu yaliyotojekea yametokeaa toka mwanzo Mama alipoziraa na kususia ndoa yako Iliingia Dosari Kubwa sana na kimsingi ilivunjika kabla haya ya kufungwaa so kilichotokea sio kwa akili yako au ni kosa lako noo hii ndo haikutakiwa kufungwa. Umemuumiza sana kaka wa watu kwa kusikiliza maneno lakini umeumiza ndugu zake pia na kumchafua sana msameane maisha yaendeler mbele.
Next time usimhukumu mtu kwa maneno ya kuambiwaa hata siku mojaaa...!! HUFAI KUWA MKE.
This Is the real story japo sijataja mikoa husika nimetumia tafsida, na ukweli imeniumaHii story itakuwa ya kutunga. Upo kwenye relationship na karibu unafunga ndoa hujafanya due diligence? Unampenda kweli au unatafuta unafuu wa maisha? Jamaa is smart . Wewe kupata mme itakuwa kazi considering your status . Hivi unafanya shughuli gani?
Hakuna msamaha hapo watu watoke Mbeya hadi Ngara wamepoteza muda na pesa nyingi halafu ati mtu kazima simu niseme ukweliYaelekea we si Mke Bora kabisa
1.Kwanini hukuwaeleza waaitishe safari?
2.Kuna jambo unasema mama yako hakuliafiki ni lipi?
3.Tatu unahisi hata ukisamehewa wazee wa ukoo ule watakuchukuliaje pindi wakipishana na we we?
4.Una uhakika huyo bwana harusi hajapata mwingine wa kuendelea na mpango mwingine?
Tujibu
Utatolewa kafalaJamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu
Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa,
Mwaka fulani niliingia kwenye mahusiano na kijana mmoja toka Mbeya, ila kwa sasa anaishi Afrika ya Kusini kwa shughuli zake ,
Tulikubaliana kuanza kutambulishana kwao, na kwetu
Nakumbuka alinilipia nauli ya ndege nikaenda kwao kutambulishwa nikamshukuru Mungu kwamba nimepata mme sasa,
Tumeendelea na utaratibu na mshenga akatumwa kwetu kusema, baada ya kuondoka nikamweleza mama kuwa kijana sawa ananipenda ila hapendi jambo fulan ambalo kwa ukweli sitalisema hapa, mama akasema kama ndo hivo sitak habari zako za kuolewa,
Ikabidi mchakato uendelee kawaida, wakaleta kishika uchumba mama akawa hataki kushiriki hata kidogo, anasusa, sasa shangazi yangu akaniambia kwamba kwakuwa huna baba naomba ili suala tuwashirikishe baba wadogo na wajomba tuendelee na nchakato,
Baada ya muda tukapanga wataletaje mahari na siku ya send off tukaipanga,
Sasa kabla ya send off siku moja kabla tukapata habari kupitia kwa mjomba kwamba Mwanaume anayeenda kunioa kumbe ana mke mi naenda kuwa mke wa pili, taarifa hii ikawachanganya wote hata wajomba wakasema ngoja wajiweke pembeni, maandalizi ya send off yakavurugika wakati huo wakwe wakiwa njiani kuhudhuria sherehe hiyo , walikodi Costa na magari kadhaa kutoka mbeya hadi Ngara,
Wakanikimbia ndugu zangu wote nami nikachanganyikiwa kwa hasira sikutokea kwenye send off na maandalizi ikawa hasara, wakapiga simu nikazima nilikuwa na hasira sana,
Baadaye nikawasha simu nikakuta mama mkwe mtarajiwa amenitumia meseji kwamba "Sikutegemea kama ungetufanyia haya, sisi tunajiandaa kesho tunarudi lakini baki na amani"
Niliumia sana Akaendelea kunitumia meseji za machungu nikijua naye anajua kuwa Mwanae ana mke na mama huyu tumeongea kila siku niliumia,
Sasa yule mchumba wangu akawa ananitafta sipokei nikamwambia sina Muda mchafu wa kuolewa na wewe, hapo sikumwambia kwanini nimebadili mawazo,
Sasa nakumbuka siku kadhaa baadae naitwa nyumbani kwamba kuna kikao,
Kumbe kuna taarifa kwamba yule kijana hakuwa ameoa ila alichumbia sehemu akalipa mahari ila kumbe hakuoa,
Habari zilisononesha sana
Nikaenda kwa askofu mmoja akanishauri
1.Ama tuombe radhi kwao kuendelea na mchakato
2.Ama tuwape kishika uchumba chao maana mahari alikuwa bado angetoa siku ya send off asubuhi yake,
Naomba ushauri wenu plz
Nimeikosea Sana familia ile, pia hasira baada ya kupungua natamani niolewe naye japo nashindwa naanzaje
Mimi Bado nashangaa nasoma na kurudia mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa. Lengo haswa la haya maswala ya Posa,mahari na ndoa hadi kuhusisha watu wazima ni kwasababu ya hekima na busara zaoPole sana kwa yaliyokukuta ila;