zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Fisi maji au fisi mzinga?Si mnajiita mafisi
!kula jeuri yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisi maji au fisi mzinga?Si mnajiita mafisi
!kula jeuri yako
Oya Tusepe nitakupa kisa kupinga ulichokiandikaUkimwi siku hz sio tatizo kama ilivyokuwa hapo zamani..
Umeona kwa hio wewe ulikua unahudumia mgonjwa kikakuuma na wewe si ndio yaan kimehama kwa mgonjwa kikahamia kwako? Wanasema virusi vya ukimwi havina madhara km tu kinga ya mwili haitopambana navyo maana vyenyewe vikipambana na kinga ya mwili basi kinga ya mwili lazima inyooshe mikono juu, kuna watu wanaishi na virusi vya ukimwi lakini hawana UKIMWI hii simaanishi kwamba uone ukwimwi hauna madharaSema siku hizi ngoma imetulia kama haipo hivi kwa sababu ya hizi dawa ila kiuhalisia people are dying
Nimetoka kumaliza pep past two months baada ya kujichoma while stitching a client
Fisi mfupaFisi maji au fisi mzinga?
UKIMWI ni imani tu....kila siku nawapiga miti wenye ukimwi tena wana kajoto flani amazingNdugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENI😭😭😭
Nenda hospitali kabla ta ya 72 hoursNdugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENI😭😭😭
Kanunue prep mkuu hauwez pata kkNdugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENI😭😭😭
Kama ni ndani ya saa 72, ka report kituo cha afya uanze dozi Post Exposure Prophylaxis (PEP). Ni bure huduma hiiNdugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENI😭😭😭
Wewe ndo unazingua. Ungeenda kupima kama majibu ni negative ukianza PEP huo ugonjwa huupati ila kujichelewesha mwisho wa siku ndo hivyo.Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.
Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.
Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.
ASANTENI😭😭😭
Dah how is it there? Challenges, manyemelezi? Usumbufu wa dawa? Em tupige shule mkuuLong time kitamboo nipo kwenye grid ya taifa
All is well this side. Most important of all a lid arvs at all cost. That is wat has enabled me to survive 18+ years with hiv.Dah how is it there? Challenges, manyemelezi? Usumbufu wa dawa? Em tupige shule mkuu
MIaka 18 si mchezo....sorry ar u married au una patna? Anao? Ni side effects gani maybe za dawa au virus unapambana nazo? Nilisikia dawa hazipatani na pombe zt?All is well this side. Most important of all a lid arvs at all cost. That is wat has enabled me to survive 18+ years with hiv.
Make sure u eat well exercise alot and exercise english bunter whenever possible bila kusahau kuperuz jf kuondoa stress za kazi na maisha. Need i say more?
Siwezi jibu kuhusu side effects za dawa maama i never used them.I see
MIaka 18 si mchezo....sorry ar u married au una patna? Anao? Ni side effects gani maybe za dawa au virus unapambana nazo? Nilisikia dawa hazipatani na pombe zt?
U mean hutumii arv?!Siwezi jibu kuhusu side effects za dawa maama i never used them.
Not married single and mingling 😜.