Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

Pole sana mkuu kapime na ikipita miezi mitatu kapime tena, jiandae kisaikolojia kwa lolote lile kupata VVU sio mwisho wa maisha mkuu.
 
Ukimwi siku hz sio tatizo kama ilivyokuwa hapo zamani..
Oya Tusepe nitakupa kisa kupinga ulichokiandika

Mwaka 2023 nilikua na mahusiano na binti mmoja ambae kabla sikua najua km ameathirika ukimwangalia alikua mtoto fulani wa kishua sana kwa hio zile dalili zilikua hazionyeshi basi kiukweli tulipendana kwa kiasi chake ila Mimi bwana ni km nalindwa na MIZIMU yule binti akawa ananihimiza tufanye ngono isiyo salama yaan bila mipira day 1 nikawa nimebanwa kazi day 2 nikawa nina shughuli kanisani binti anahimiza anataka ndonga day 3 sikuweza kutoka nilipokua sababu ni mbali mpaka kumfikia day 4 binti akanichana ukweli kua yeye ni muathirika nilichoka akaniambia atanitumia picha kuthibitisha picha ambazo gonjwa lilimpiga kisawasawa yaan nilipoziona na nikikuta mtu kaandika kaandika kauli km yako kwamba siku hizi Ukimwi sio tatizo futa kauli yako sababu huyajui mateso wanayoyapitia wewe unaweza kula dawa kila siku mpaka unakufa yaan ili uishi kila siku inabidi ule dawa ukiacha dawa tu fungus wanakimbilia kwenye ubongo unaweza?
 
Sema siku hizi ngoma imetulia kama haipo hivi kwa sababu ya hizi dawa ila kiuhalisia people are dying
Nimetoka kumaliza pep past two months baada ya kujichoma while stitching a client
 
Umeona kwa hio wewe ulikua unahudumia mgonjwa kikakuuma na wewe si ndio yaan kimehama kwa mgonjwa kikahamia kwako? Wanasema virusi vya ukimwi havina madhara km tu kinga ya mwili haitopambana navyo maana vyenyewe vikipambana na kinga ya mwili basi kinga ya mwili lazima inyooshe mikono juu, kuna watu wanaishi na virusi vya ukimwi lakini hawana UKIMWI hii simaanishi kwamba uone ukwimwi hauna madhara
 
Mkuu Relax,Watu wanauza mechi sana na waathirika.Shida ya Ngoma sio ngoma bali ni Hofu.

Cha kufanya tafuta PEP kwanza ili upate uzoefu wa kuishi ARV kwa mwezi mmoja itakusaidia kuweka kichwa vizuri.ARV zinazwa 60k ingawa unaweza kupata BURE pia.

Pili Kama hujapima bado relax PIA.
 
Japo wengine wanasema UKIMWI haupo ila niamini mimi UKIMWI NI UGONJWA MBAYA SANA
 
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
UKIMWI ni imani tu....kila siku nawapiga miti wenye ukimwi tena wana kajoto flani amazing
 
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
Nenda hospitali kabla ta ya 72 hours
 
Kanunue prep mkuu hauwez pata kk
 
20240902_114346.jpg
 
Kama ni ndani ya saa 72, ka report kituo cha afya uanze dozi Post Exposure Prophylaxis (PEP). Ni bure huduma hii
 
Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa mpira), naogopa sana kwenda kupima kwani naamini majibu nitakayopewa itakuwa ni usaliti mkubwa sana kwa wazazi wangu na hata dini yangu.

Imani pekee ambayo nimebaki nayo ni kwamba kama haujui kuwa unafanya mapenzi na mtu ambaye ana virusi hivi hatari basi hauwezi kuambukizwa, ila utapata tu pale ambapo unakua unajua, ni kama vile waislam wanavyoamini kuwa akila nguruwe bila kujua basi sio dhambi, dhambi ni pale anapokua anajua kuwa anakula nguruwe.

Je, ni kweli hiki nachokiamini ni sahihi? majibu yenu yatakayokuwa upande wangu basi yataniimarisha sana.

ASANTENI😭😭😭
Wewe ndo unazingua. Ungeenda kupima kama majibu ni negative ukianza PEP huo ugonjwa huupati ila kujichelewesha mwisho wa siku ndo hivyo.
Wahi hospitali kuna dawa za kujingika na ukimwi kwa mtu aliepata exposure zinaitewa PEP
Fika hospitali sema nimekuja kucheki afya wakikupa majibu kama negative omba na dawa hizo za PEP
 
Dah how is it there? Challenges, manyemelezi? Usumbufu wa dawa? Em tupige shule mkuu
All is well this side. Most important of all a lid arvs at all cost. That is wat has enabled me to survive 18+ years with hiv.
Make sure u eat well exercise alot and exercise english bunter whenever possible bila kusahau kuperuz jf kuondoa stress za kazi na maisha. Need i say more?
 
I see

MIaka 18 si mchezo....sorry ar u married au una patna? Anao? Ni side effects gani maybe za dawa au virus unapambana nazo? Nilisikia dawa hazipatani na pombe zt?
 
Siwezi jibu kuhusu side effects za dawa maama i never used them.
Not married single and mingling 😜.
 
Back
Top Bottom