Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa Kila nikaijaribu kuacha nashindwa 🥲😪,naweza Kaa hata mwezi bila masterbation, ghafla najikuta nimerudi tena.
Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.
Pia nina shida ya kujifananisha maisha na watu wengine nakuwa na Wivu pale ninapo ona wenzagu wanafanikiwa, kiufupi siitaki hii hali lakini nashangaa kwanini nashindwa kuizuia.
Pia mimi ni muoga sana wa mademu nisaidieni mdogo wenu pia kama mtoto wenu nateseka sanaa na haya matatizo, Kuna muda nakosa kabisa hata ujasiri wa KUJIKUBALI nateketea na hii hali😢😢
Nisaidieni kwa ushauri.