To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kati yangu Mimi na wewe na hayupo sawa kisaikolojia? Wewe ndiyo mwenye shida unapata wapi mda ku'search thread ya 2 years ago? Hii inaonyesha ni namna gani akili yako umeathirika. Pole sana. Na nadhani bila shaka kabsa wewe ni SINGLE MOTHER . Nakupa pole juu ya hilo.
Ukipenda shauri, usipo penda pita. Na ulisoma ukaona litakuathiri it's better kuachana nalo na kuangalia mengine.