Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 🙄 mbona unanitisha sana Ndugu (unaniogopesha)Usipomrudia Mungu wako vitakuua.
mnamuonea kijana😂Huko nyikani unafanya ni Nini Sasa?si urudi mjini,ndio maana unakosa kujiamini.
💯Kutamani tu kuacha ni hatua ya kuamua....it is always possible.
Roho yako ipo tayari mwili wako ni dhaifu...hii haimaanishi hautaweza kuacha.
BIG UP SANA
nakazia.....Mtu Alie Nyikani
Pole Kijana I can feel your pain..nakushauri yafuatayo yazingatie kwa makini..Nimekusoma una Lack of Self Control and you Cant control your emotions na ata mawazo yako huwezi kuyacontrol..ni hatari sana kwa Kijana wa Kiume🤦🤦🤦naomba futa video porns zote ulizonazo kwenye simu yako..and even nude pictures..Acha kujifungia room alone toka nenda Sebleni jichanganye na Familia epuka kujifungia peke ako mda mwingi room kwasababu hujaweza kujicontrol bado🤗
About Masturbation/Punyeto:-
Je umeshawahi kufikiri kujua ni nini tatizo na kupelekea sababu ya kushindwa kuacha?
Aina ya tabia hizi zinatokana na deeper issues..like high stress levels or past traumatic events😔
Jaribu kuangalia ivyo then try to fix them..and the problem will eventually stop by itself..If you can try checking in with a therapist..it could help to really get rid of your addiction🧕
Solution / Suluhu:-
Tatizo lako ni internal problem/yaan liko ndani ya wewe/Ndani yako but you’re trying to solve it with external solutions..meditate 10 minutes a day for 30 days and it’ll change your life🧕
Solution to Lack of Confidence and Fear:
1 - Katika kufanikiwa unapaswa
kufahamu kwamba haya maisha ni yako..Wivu unapoona wenzio wamefanikiwa sio mbaya..ila Wivu wako uwe ni Positive wenye kukupa ari/chachu ya mapambano🧕
Nasio Wivu wa Kichawi wa Kuwaombea waanguke kwenye mafanikio yao HAPANA🙅🙅🙅
Zingatia akilini mwako kua..Nobody is against you and if they are..they can't defeat you unless you let them 🧕
2 - Kujiamini kunatoka ndani yako🤗.. not from outsiders..Stop caring what they think..just be you and say / do what you want 🧕
3 - You don't need permission to exist..stop seeking permission from other people who aren't perfect (nobody is)🧕
4 - Acha kuwapa watu wa nje nguvu juu yako Jiamini 💪 (they have no real power..it's all in your mind) badili fikra zako na mitazamo yako jaribu kua positive mda wote 🧕
5 - Be your own superhero🧕
6 Punguza na epuka vyenye kukupa mawazo..just be you in the moment🧕
Good Luck to you and Your Journey Brotha
🤗🤗🤗🤗🤗
🤝🤝🤝🤝🤝
🧕
afu atanue mpaka college, afu chuo kizima si ndo maana yake 😂😂Ndo km hivyo navyo msaidia, aanze na wadada wa class lake.
shida ya hizi dini kila kitu, hadi vitu vilivyo ndani ya uwezo wako, unalaumu nguvu za giza.... hutofanikiwaKaombewe, pepo la masturbation Ata heroin haikamati.
[emoji3][emoji3][emoji3]Huko nyikani unafanya ni Nini Sasa?si urudi mjini,ndio maana unakosa kujiamini.
Ndo maana akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu atanue mpaka college, afu chuo kizima si ndo maana yake [emoji23][emoji23]
Umemshauri vizuri sana.Mtu Alie Nyikani
Pole Kijana I can feel your pain..nakushauri yafuatayo yazingatie kwa makini..Nimekusoma una Lack of Self Control and you Cant control your emotions na ata mawazo yako huwezi kuyacontrol..ni hatari sana kwa Kijana wa Kiume🤦🤦🤦naomba futa video porns zote ulizonazo kwenye simu yako..and even nude pictures..Acha kujifungia room alone toka nenda Sebleni jichanganye na Familia epuka kujifungia peke ako mda mwingi room kwasababu hujaweza kujicontrol bado🤗
About Masturbation/Punyeto:-
Je umeshawahi kufikiri kujua ni nini tatizo na kupelekea sababu ya kushindwa kuacha?
Aina ya tabia hizi zinatokana na deeper issues..like high stress levels or past traumatic events😔
Jaribu kuangalia ivyo then try to fix them..and the problem will eventually stop by itself..If you can try checking in with a therapist..it could help to really get rid of your addiction🧕
Solution / Suluhu:-
Tatizo lako ni internal problem/yaan liko ndani ya wewe/Ndani yako but you’re trying to solve it with external solutions..meditate 10 minutes a day for 30 days and it’ll change your life🧕
Solution to Lack of Confidence and Fear:
1 - Katika kufanikiwa unapaswa
kufahamu kwamba haya maisha ni yako..Wivu unapoona wenzio wamefanikiwa sio mbaya..ila Wivu wako uwe ni Positive wenye kukupa ari/chachu ya mapambano🧕
Nasio Wivu wa Kichawi wa Kuwaombea waanguke kwenye mafanikio yao HAPANA🙅🙅🙅
Zingatia akilini mwako kua..Nobody is against you and if they are..they can't defeat you unless you let them 🧕
2 - Kujiamini kunatoka ndani yako🤗.. not from outsiders..Stop caring what they think..just be you and say / do what you want 🧕
3 - You don't need permission to exist..stop seeking permission from other people who aren't perfect (nobody is)🧕
4 - Acha kuwapa watu wa nje nguvu juu yako Jiamini 💪 (they have no real power..it's all in your mind) badili fikra zako na mitazamo yako jaribu kua positive mda wote 🧕
5 - Be your own superhero🧕
6 Punguza na epuka vyenye kukupa mawazo..just be you in the moment🧕
Good Luck to you and Your Journey Brotha
🤗🤗🤗🤗🤗
🤝🤝🤝🤝🤝
🧕
NgorundeUmemshauri vizuri sana.
Ombi/Ushauri;
Hebu zama PM ya huyu dogo umpe za ndani.
Nina imani mkiwa wawili atakufungukia zaidi.
#tuwasaidievijana#
Shida ya watu sikuhizi wanajifanya wanajua kila kitu na kupuuza mambo ya Mungu.shida ya hizi dini kila kitu, hadi vitu vilivyo ndani ya uwezo wako, unalaumu nguvu za giza.... hutofanikiwa
To yeye mpe mbinu huyu au bado upo chamani?Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.
dah kwakweli mkuu,,kwenye ishu ya nyeto naona ni tatizo kubwa sana maana nagonga miaka 31 haimalizi wiki lazima nizame kwenye site za porn then baadae najichua kwakweli huu utumwa umeniathiri sana nashindwa kuukimbiaPunyeto inaondoa uwezo wa kujiamini na sio kwa mademu tu kama utaizidisha kwa muda mrefu utaanza hata kushindwa kujiamini mbele ya wanaume wenzako na kuingia kwenye msongo wa mawazo.. Inawezekana kujitoa kabisa ousisubiri ufikishe miaka 30 bila kua na demu ndo ushtuke itakua umepoteza vingi sana… Pigana uachane na huo ujinga dogo
Ni kuomba Mungu na kufunga kwa maombi.dah kwakweli mkuu,,kwenye ishu ya nyeto naona ni tatizo kubwa sana maana nagonga miaka 31 haimalizi wiki lazima nizame kwenye site za porn then baadae najichua kwakweli huu utumwa umeniathiri sana nashindwa kuukimbia