Unazidi kumuongezea stress kijana wa watu...
Don't overstress him na kumfanya ajione sio chochote au amekosea maisha....
Katika vitu ambavyo sitakaa nivifanye ni kuignore someone who needs help kisa kwangu inaonekana kidogo...na hii ndo inasababisha vijana wawaogope wazazi, kaka zao nk katika kuwaelezea ukweli na wanayopotia..
Imagine huyu mtoto kaacha ndugu zake na wote wanaomzunguka na naamini tatizo ni hili hili anajaribu kutafuta msaada wanamuignore...
Haya ndo yamesababisha kiwango cha depression, anxiety nk kuwa kubwa kwa vijana