Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

Mbona mi nashindwa kuacha kununua malaya, kuna wakati natamani ikifika weekend hata nijifumge minyororo kwenye mti na funguo ya kufuli nimpe mtu akae nayo kwa muda
Kutamani tu kuacha ni hatua ya kuamua....it is always possible.
Roho yako ipo tayari mwili wako ni dhaifu...hii haimaanishi hautaweza kuacha.
BIG UP SANA
 
"Haihitaji nguvu kubwa kuacha au kufanya chochote zaidi ya kuamua Brother " ..
Unaweza kuanza au kuacha tabia YOYOTE ile ukiamua tu.
Fanya yafuatayo utakuja kumshukuru Mungu siyo Mimi
1. Usikubali kuamini kuwa wewe kuwa wewe ni muoga sana. Kila mtu ni muoga kaka, tunatofautiana kwenye uwezo wa kuamua na kutawala hisia tu.
2. Kubali kuwa wewe ndiye msimamizi wa maisha yako "master of your destiny"..wewe umeshikilia sterling unaweza kuipeleka gari unapotaka na siyo gari likupeleke linakotaka.
3. Usijione hufai au ni dhaifu sana, kumbuka Kila mtu ana udhaifu wake tena unawezekanana wewe ni shujaa uliyeamua kuonesha tatizo lilipo.
4. Kuigundua shida yako mwenyewe " self criticism" ni hatua inayochukuliwa na watu wachache sana wenye nia ya kupiga hatua. Wewe ni bonge la shujaa Brother.
It is always possible...
Kuamua tu kuandika uliyoyaandika Mimi naona umeshazishinda hizo tabia
HONGERA SANA KAKA
Aisee... Nashuru sanaa Ubarikiwe
Huu ujumbe nacopy ku paste sehem Kila sku asubuhi lazma niusome mpka nione nimebadilika

Thanks 🙏
 
Mtu Alie Nyikani

Pole Kijana I can feel your pain..nakushauri yafuatayo yazingatie kwa makini..Nimekusoma una Lack of Self Control and you Cant control your emotions na ata mawazo yako huwezi kuyacontrol..ni hatari sana kwa Kijana wa Kiume🤦🤦🤦naomba futa video porns zote ulizonazo kwenye simu yako..and even nude pictures..Acha kujifungia room alone toka nenda Sebleni jichanganye na Familia epuka kujifungia peke ako mda mwingi room kwasababu hujaweza kujicontrol bado🤗

About Masturbation/Punyeto:-

Je umeshawahi kufikiri kujua ni nini tatizo na kupelekea sababu ya kushindwa kuacha?

Aina ya tabia hizi zinatokana na deeper issues..like high stress levels or past traumatic events😔

Jaribu kuangalia ivyo then try to fix them..and the problem will eventually stop by itself..If you can try checking in with a therapist..it could help to really get rid of your addiction🧕

Solution / Suluhu:-

Tatizo lako ni internal problem/yaan liko ndani ya wewe/Ndani yako but you’re trying to solve it with external solutions..meditate 10 minutes a day for 30 days and it’ll change your life🧕

Solution to Lack of Confidence and Fear:

1 - Katika kufanikiwa unapaswa
kufahamu kwamba haya maisha ni yako..Wivu unapoona wenzio wamefanikiwa sio mbaya..ila Wivu wako uwe ni Positive wenye kukupa ari/chachu ya mapambano🧕

Nasio Wivu wa Kichawi wa Kuwaombea waanguke kwenye mafanikio yao HAPANA🙅🙅🙅

Zingatia akilini mwako kua..Nobody is against you and if they are..they can't defeat you unless you let them 🧕

2 - Kujiamini kunatoka ndani yako🤗.. not from outsiders..Stop caring what they think..just be you and say / do what you want 🧕

3 - You don't need permission to exist..stop seeking permission from other people who aren't perfect (nobody is)🧕

4 - Acha kuwapa watu wa nje nguvu juu yako Jiamini 💪 (they have no real power..it's all in your mind) badili fikra zako na mitazamo yako jaribu kua positive mda wote 🧕

5 - Be your own superhero🧕

6 Punguza na epuka vyenye kukupa mawazo..just be you in the moment🧕

Good Luck to you and Your Journey Brotha
🤗🤗🤗🤗🤗
🤝🤝🤝🤝🤝
🧕
Until here, tatzo langu linaelekea limepata solution thank you so much
GOD BLESS YOU
 
Sasa hapa nakupa dawa niliyotumia mimi, huwezi kufeli. Tongoza demu mzuri kupitia facebook, usitumie ile mitandao ya dating...,maana huna uzoefu, facebook una a good chance ya kutongoza bila aibu, na utapata mtu decent wa kufanyia majaribio.., na ondoa woga kabisa, hakuna aliyezaliwa anajua kufanya..

Mshawishi aje ghetto kwako, usiende nae gesti, maana hiyo itakuongezea anxiety, na mwisho wa siku akikuvulia kwa pupa mapigo ya moyo yanaweza kuongezeka yakaenda mbio, na hutaweza kufanya kitu.., ila ghetto una nafasi ya kum-tune taratibu hadi unakaa nae sawa...,ukishafanya tu mara moja, utapata bonge la confidence, na tatizo litakuwa limeisha hapo
Ashike hapaaaa.
 
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.

Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa Kila nikaijaribu kuacha nashindwa 🥲[emoji25],naweza Kaa hata mwezi bila masterbation, ghafla najikuta nimerudi tena.

Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.

Pia nina shida ya kujifananisha maisha na watu wengine nakuwa na Wivu pale ninapo ona wenzagu wanafanikiwa, kiufupi siitaki hii hali lakini nashangaa kwanini nashindwa kuizuia.

Pia mimi ni muoga sana wa mademu nisaidieni mdogo wenu pia kama mtoto wenu nateseka sanaa na haya matatizo, Kuna muda nakosa kabisa hata ujasiri wa KUJIKUBALI nateketea na hii hali[emoji22][emoji22]

Nisaidieni kwa ushauri.
Nichek DM nkusaidie
 
masaa 1.5 mpaka mawili shahawa tayari zishatengenezwa za kutosha

napiga 4 kwa siku, saa 11 alfajiri, saa 6 mchana, saa 12 jioni na saa 4 usiku
tena shahawa nyingi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawaaah
 
"Haihitaji nguvu kubwa kuacha au kufanya chochote zaidi ya kuamua Brother " ..
Unaweza kuanza au kuacha tabia YOYOTE ile ukiamua tu.
Fanya yafuatayo utakuja kumshukuru Mungu siyo Mimi
1. Usikubali kuamini kuwa wewe ni muoga sana. Kila mtu ni muoga kaka, tunatofautiana kwenye uwezo wa kuamua na kutawala hisia tu.
2. Kubali kuwa wewe ndiye msimamizi wa maisha yako "master of your destiny"..wewe umeshikilia sterling unaweza kuipeleka gari unapotaka na siyo gari likupeleke linakotaka.
3. Usijione hufai au ni dhaifu sana, kumbuka Kila mtu ana udhaifu wake tena unawezekanana wewe ni shujaa uliyeamua kuonesha tatizo lilipo.
4. Kuigundua shida yako mwenyewe " self criticism" ni hatua inayochukuliwa na watu wachache sana wenye nia ya kupiga hatua. Wewe ni bonge la shujaa Brother.
It is always possible...
Kuamua tu kuandika uliyoyaandika Mimi naona umeshazishinda hizo tabia
HONGERA SANA KAKA
Yaan asome hapa kwa umakini na afanyie kazi.
Problem solved.
 
Mbona mi nashindwa kuacha kununua malaya, kuna wakati natamani ikifika weekend hata nijifumge minyororo kwenye mti na funguo ya kufuli nimpe mtu akae nayo kwa muda
Sasa si hujaamua wee mwenyewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa mtu wa Ibada. Mpende Mungu na umtafute Kwa bidii na Kwa akili yako yote. Ifike mahala kabla hujaamua kufanya huo mchezo upate majuto moyoni na si majuto yaje baada ya kumaliza. Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kujiamini huanzia akilini, ni kweli unajiona mkosaji lakini tambua kukosea hakukuondolei thamani ya utu wako. Jione kua unakosea katika upande huo lakini wengine wanakosea katika Mambo mengine, na Kwa mantiki hiyo elewa hakuna binadamu mkamilifu. Kwa kutambua kua hatujakamilika anza kutambua kua hata marafiki zako Wana mapungufu na bado hawayaweki mbele kabla ya thamani ya utu wao binafsi. Hapa maana yangu ni moja Kwamba unatakiwa ujipende wewe binafsi ndipo utakapopata ujasiri wa kuchangamana na watu wengine.
Kama haujipendi ni dhambi Kwa Mungu lakini pia tambua wakati wewe unajishusha thamani watu bado wanakuona mwema na unastahili kuishi kama waishivyo binadamu wengine. Hivyo basi anza kuchangamana na aina tofauti za watu bila kuhofia wanavyoluchukulia. Jungle na vijana wa rika lako lakini wasio na tabia mbaya, Acha kukaa peke yako MDA mwingi hiyo itaendelea kufanya uwe addicted na hiyo punyeto. Hata mimi niliwahi kufanya huo mchezo mbaya lakini nashukuru Mungu niliachana nao nina make na watoto.
Mwisho kabisa Mungu wa mbinguni akupe nguvu ya kuepukana na hili janga lianalotesa vijana walio wengi.
Ubarikiwe sana kama utachukua hatua.
 
Unazidi kumuongezea stress kijana wa watu...

Don't overstress him na kumfanya ajione sio chochote au amekosea maisha....

Katika vitu ambavyo sitakaa nivifanye ni kuignore someone who needs help kisa kwangu inaonekana kidogo...na hii ndo inasababisha vijana wawaogope wazazi, kaka zao nk katika kuwaelezea ukweli na wanayopotia..
Imagine huyu mtoto kaacha ndugu zake na wote wanaomzunguka na naamini tatizo ni hili hili anajaribu kutafuta msaada wanamuignore...

Haya ndo yamesababisha kiwango cha depression, anxiety nk kuwa kubwa kwa vijana
💯
 
Sidhani kama hayo unayosema ni kweli....don't be harsh kwake....

Mtu mpaka anaamua kuandika hapa ujue ana tatizo kubwa na anakosa jinsi ya kulisolve

Kuliko kumuongezea stress na kumtukana its better ukae kimya....
🔨🔨🔨
 
Back
Top Bottom