Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

dah kwakweli mkuu,,kwenye ishu ya nyeto naona ni tatizo kubwa sana maana nagonga miaka 31 haimalizi wiki lazima nizame kwenye site za porn then baadae najichua kwakweli huu utumwa umeniathiri sana nashindwa kuukimbia
Tafuta asali mbichi, mdalasini wa unga na karafuu ya unga.

Chukua changanya vyote kwa pamoja mpaka upate uji mzito.

Ikishakamilika lamba kijiko kidogo kila ukiamka na usiku kabla hujalala kwa siku 30 yani kama dozi vile, itakusaidia kukata huo mchezo kwa kiasi kikubwa na kukurudishia uwezo wa mashine..

Kumbuka: asali inatakiwa iwe mbichi.. kama sio mbichi usitumie kabisa..
 
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.

Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa Kila nikaijaribu kuacha nashindwa 🥲😪,naweza Kaa hata mwezi bila masterbation, ghafla najikuta nimerudi tena.

Naombeni mnisaidie maana naona Kila mbinu kwangu imegonga mwamba, maybe ambao waliwa pitia hii situation waliwezaje kushinda.

Pia nina shida ya kujifananisha maisha na watu wengine nakuwa na Wivu pale ninapo ona wenzagu wanafanikiwa, kiufupi siitaki hii hali lakini nashangaa kwanini nashindwa kuizuia.

Pia mimi ni muoga sana wa mademu nisaidieni mdogo wenu pia kama mtoto wenu nateseka sanaa na haya matatizo, Kuna muda nakosa kabisa hata ujasiri wa KUJIKUBALI nateketea na hii hali😢😢

Nisaidieni kwa ushauri.
Pole ndugu jitahid usiwe unakaa peke yakojumuika na watu
 
Mzee unachokiogopa sio wanawake bali hofu ya kukataliwa... take your cance kama mwanaume ukimuona mwanamke unamuelewa nenda mwambie akichomoa achana nae pia always kuwa na multiple choice...

Omba namba za madem hata kumi approach mmoja baada ya mwngne akichomoa unapga chini
😁😁😁😁😁😁
 
Pole ndugu jitahid usiwe unakaa peke yakojumuika na watu
Nashukuru ndugu.
Tangu nitume thread hii ya kuomba ushauri ni miezi sita Sasa imepita, Cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Tatizo Langu lilipata jibu na nika solve nikapata solution, mpaka ninapo ongea hapa ni miezi mitano tangu niachane na Masterbation, ule Uoga wa Mademu uliniisha nilitafuta demu nikapata Yani kiufupi maisha yangu kwa kiasi Fulani yalibadilika sana kupitia hii threads.

Shukurani zangu ziwaendee Hawa watu Lovie Lady huyu alinikaribisha Hadi DM akanipa ushauri ulionijenga pamoja na successiful dreamer
Moja watu walio nipa ushauri mzuri mpaka nikaamua Kuachana kabisa na Masterbation na nikamua kuanzisha safari Mpya ya Maisha bila masterbation, bila Wivu bila Uoga Kwa kweli Mungu awabariki sana.
#ukiamuaunaweza.
 
Mleta mada hayupo sawa kisaikolojia
Kati yangu Mimi na wewe na hayupo sawa kisaikolojia? Wewe ndiyo mwenye shida unapata wapi mda ku'search thread ya 2 years ago? Hii inaonyesha ni namna gani akili yako umeathirika. Pole sana. Na nadhani bila shaka kabsa wewe ni SINGLE MOTHER . Nakupa pole juu ya hilo.

Ukipenda shauri, usipo penda pita. Na ulisoma ukaona litakuathiri it's better kuachana nalo na kuangalia mengine.
 
Back
Top Bottom