Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

Elias K

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
213
Reaction score
607
Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema.

Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom. Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha boom nimjengee mama kijumba cha bati na choo. nilifanikiwa kwa hilo hadi umeme nimevuta. Wenzangu walijibana wakanunua pikipiki ambazo sasaivi wanazifanyia hiashara ila mimi nilichangua kujenga nyumbani. Nilipanga ghetto la hali ya chini kuliko wanafunzi wote pale chuoni. Sikubadili nguo kama wenzangu. Nilivaa nguo moja hadi ikapauka, nilipiga nyeto kukwepa kuhudumia dem, kwa kifupi niliishi maisha very identical ili tu kubana boom kwaajili ya kumuwekea mama mazingira yanayoeleweka.

Nililipomaliza college kumekuwa na changamoto ya ajira hivyo nipo nyumbani muda mrefu. Mama amethubutu kunigombeza kwamba mimi ni mzembe na huwenda nilikuwa malaya chuoni ndiyo maana sikuweka akiba ya boom ambalo lingenisaidia kuanzisha biashara kama wenzangu! Yaani amesahau?! Naona amefikia hatua ya kunisimangia chakula, tena ambacho nimelima kwa nguvu zangu.

Hasira ziliniwaka na hapa nataka nimdanganyie safari ya kwenda kuwatembelea ndugu zake Iringa ili nibaki mwenyewe niuze nyumba na shamba na kutokomea town. Wakati mwingine waza kumzika

- Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?
 
Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema.

Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom.

Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha boom nimjengee mama kijumba cha bati na choo. nilifanikiwa kwa hilo hadi umeme nimevuta.

Wenzangu walijibana wakanunua pikipiki ambazo sasaivi wanazifanyia biashara ila mimi nilichangua kujenga nyumbani.

Huko chuoni Nilipanga ghetto la hali ya chini kuliko wanafunzi wote pale chuoni. Sikubadili nguo kama wenzangu.

Nilivaa nguo moja hadi ikapauka, nilipiga nyeto kukwepa kuhudumia dem, kwa kifupi niliishi maisha very identical ili tu kubana boom kwaajili ya kumuwekea mama mazingira yanayoeleweka.

Nililipomaliza college kumekuwa na changamoto ya ajira hivyo nipo nyumbani muda mrefu na hili ni kwa graduates wengi.

Mama amethubutu kunigombeza kwamba mimi ni mzembe na huwenda nilikuwa malaya chuoni ndiyo maana sikuweka akiba ya boom ambalo lingenisaidia kuanzisha biashara kama wenzangu!

Yaani amesahau?! Naona amefikia hatua ya kunisimangia chakula, tena ambacho nimelima kwa nguvu zangu.

Hasira ziliniwaka na hapa nataka nimdanganyie safari ya kwenda kuwatembelea ndugu zake Iringa ili nibaki mwenyewe niuze nyumba na shamba na kutokomea town. Wakati mwingine waza kumzika
 
Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema.

Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom. Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha boom nimjengee mama kijumba cha bati na choo. nilifanikiwa kwa hilo hadi umeme nimevuta. Wenzangu walijibana wakanunua pikipiki ambazo sasaivi wanazifanyia hiashara ila mimi nilichangua kujenga nyumbani. Nilipanga ghetto la hali ya chini kuliko wanafunzi wote pale chuoni. Sikubadili nguo kama wenzangu. Nilivaa nguo moja hadi ikapauka, nilipiga nyeto kukwepa kuhudumia dem, kwa kifupi niliishi maisha very identical ili tu kubana boom kwaajili ya kumuwekea mama mazingira yanayoeleweka.

Nililipomaliza college kumekuwa na changamoto ya ajira hivyo nipo nyumbani muda mrefu. Mama amethubutu kunigombeza kwamba mimi ni mzembe na huwenda nilikuwa malaya chuoni ndiyo maana sikuweka akiba ya boom ambalo lingenisaidia kuanzisha biashara kama wenzangu! Yaani amesahau?! Naona amefikia hatua ya kunisimangia chakula, tena ambacho nimelima kwa nguvu zangu.

Hasira ziliniwaka na hapa nataka nimdanganyie safari ya kwenda kuwatembelea ndugu zake Iringa ili nibaki mwenyewe niuze nyumba na shamba na kutokomea town. Wakati mwingine waza kumzika

Usiuze shamba wala nyumba, chakufanya hapo tokomea kusikojulikana kapambane na maisha, ukipata chochote kitu wekeza kwenye miradi mingi mingi. Ila usimsahau , huyo ni mama yako mkuu ukipata pesa mtumie wala usimuwekee kinyongo, kapambane kwa hasira zote maana unapo simangwa ndio na akili ya utafutaji inakuja.
 
Duuh aisee hiyo hali inaumiza sana, mtu unaetegemea akupe moyo ndo anakubomoa zaidi.
Ni mama zetu ila kuna time huwa wanazingua sana.

Vipi ulishwahi kumwambia kua hicho anachokisema hukipendi?? Ulishawahi kumkumbusha kua wewe ndie uliejenga na una uwezo wa kuuza na kutoulizwa chochote?
Au labda wewe ni mpole sana?? Huenda anakumudu sana kwasababu ya udhaifu huo.
 
Back
Top Bottom