Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

Usiuze shamba wala nyumba, chakufanya hapo tokomea kusikojulikana kapambane na maisha, ukipata chochote kitu wekeza kwenye miradi mingi mingi. Ila usimsahau , huyo ni mama yako mkuu ukipata pesa mtumie wala usimuwekee kinyongo, kapambane kwa hasira zote maana unapo simangwa ndio na akili ya utafutaji inakuja.
Ahsante mkuu
 
Ni Mama yako Mzazi wala Mtu asikwambie mengine,
Anakuona Mzigo sababu huingizi chochote ni kawaida hiyo usijione una Mkosi,

Muhimu wewe ondoka hapo kwenu katafute Maisha pengine, kwanza rizki yako ipo sehemu nyingine unavyoendelea kukaa hapo na hayo masimango ya Mama wazidi kujichelewesha kupata rizki uliyowekewa.
 
Ni hali ya kawaida kuwa na mgogoro na wazazi hasa katika kipindi ambacho huna kitu na unakaa nyumbani
Hata ndugu ukitaka uelewane nao usikae nao karibu hama hapo katafute maisha sehemu nyingine
Sawa🙏🏿
 
It pain njoo dsm tupambane hapa kukaa na wazazi kwa umri wako utakufa kwa stress na hizi Familiya za Kia-Africa most of them they know nothing about hard moment yaani they love u Kama hupo na pesa na si kitu kingine .
 
Back
Top Bottom