Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Hiyo combination ni sahihi?

Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei.

Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship.

Lissu - Wenje it will be a worse combination ever.

Kabla ya kumjua vizuri Lissu safu yangu ilikuwa hivi.

uchuguzi wa viongoz wa chadema Taifa hususani kwenye nafasi ya mwenyekiti ni,
baina ya Uzalendo dhidi ya Ukibaraka wa mabenyenye ya magharibi 🐒
 
Ukimsikiliza vizur Heche ni kama kijana mwaminifu wa FAM..

Heche will make it, na atahusika ku iunganisha CDM...

Then after 5 years anakuwa boss wa chama...

Kaongea kwa tahadhari sana na ni kam ameburuza hiyo agenda ya kumsapot Lissu tofaut na wengi tulivyotarajia

Calculated move
 
Lisu hafai kuongoza chochote, labda familia yake. Binafsi sijapenda anavyoongea hovyo kila kitu, na hasa anapokuwa hana ushahidi wowote.

Anasukumwa na wahuni wa Clab house, anafanya wanavyo mwambia.
Mwanasheria, asiye chuja taarifa kujua ipi ya ukweli yapi matango.

Watuambie Team Lisu, tangu awe makamu mwenyekiti kafanikisha nini, na kipi hakufanikisha kwasababu hakuwa mwenyekiti, na kwanini wanadhani akiwa mwenyekiti atakuwa kiongozi mzuri?

Binafsi sijaona kafanya nini kwenye nafasi yake mpaka sasa, hivyo sioni kwanini awe mwenyekiti.
 
Wewe unataka kunywa mchuzi wa nguruwe tu, hutaki nyama ya nguruwe kwa kuwa ni haramu kwako!

Sasa mpishi wa nguruwe kaamua kuisaga nyama yote ya nguruwe na kutengeneza chakula (rojo!) kisichowezekana kutenganisha nyama na mchuzi wake.

Sasa amua mwenyewe, ule au usile.
 
Hiyo combination ni sahihi?

Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei.

Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship.

Kabla ya kumjua vizuri Lissu safu yangu ilikuwa hivi.

Kuna kamati kuu itamsaidia.. Mwamba abaki kama mshauri wa chama na mwezeshaji.. Lissu is the right candidate kwa wakati tulio nao
 
Ukimsikiliza vizur Heche ni kama kijana mwaminifu wa FAM..

Heche will make it, na atahusika ku iunganisha CDM...

Then after 5 years anakuwa boss wa chama...

Kaongea kwa tahadhari sana na ni kam ameburuza hiyo agenda ya kumsapot Lissu tofaut na wengi tulivyotarajia

Calculated move
Heche ni muungwana sana. Jamaa atafika mbali sana. Anajua aseme nini, wakati gani na maneno gani ya kutumia.
 
Kwa nyakati hizi, lissu haepukiki!.
Ndio maana ma ccm yanamhara sana.
 
Hiyo combination ni sahihi?

Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei.

Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship.

Lissu - Wenje it will be a worse combination ever.

Kabla ya kumjua vizuri Lissu safu yangu ilikuwa hivi.

Umepatia
 
Back
Top Bottom