Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

Lisu hafai kuongoza chochote, labda familia yake. Binafsi sijapenda anavyoongea hovyo kila kitu, na hasa anapokuwa hana ushahidi wowote.

Anasukumwa na wahuni wa Clab house, anafanya wanavyo mwambia.
Mwanasheria, asiye chuja taarifa kujua ipi ya ukweli yapi matango.

Watuambie Team Lisu, tangu awe makamu mwenyekiti kafanikisha nini, na kipi hakufanikisha kwasababu hakuwa mwenyekiti, na kwanini wanadhani akiwa mwenyekiti atakuwa kiongozi mzuri?

Binafsi sijaona kafanya nini kwenye nafasi yake mpaka sasa, hivyo sioni kwanini awe mwenyekiti.
Tuambie hayo asiyo yachuja basi.
 
Hiyo combination ni sahihi?

Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei.

Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship.

Lissu - Wenje it will be a worse combination ever.

Kabla ya kumjua vizuri Lissu safu yangu ilikuwa hivi.

Umeandika vinini!??
🚮🚮
 
Ebu eleza kile ambacho Mbowe ameshindwa kukifanya kwa miaka 21, ambacho unaamini ataweza kukifanya ndani ya miaka 5. Na kwa nini alishindwa kukifanya kwa miaka 21 halafu aweze kukifanya ndani ya miaka 5.
 
Tukusaidie nini wewe chawa?
 
Ebu eleza kile ambacho Mbowe ameshindwa kukifanya kwa miaka 21, ambacho unaamini ataweza kukifanya ndani ya miaka 5. Na kwa nini alishindwa kukifanya kwa miaka 21 halafu aweze kukifanya ndani ya miaka 5.
Hujajibu swali langu, ila umeliuliza na kuweka Mbowe palipokuwa na Lisu, hiyo ni plagiarism.

Ukijibu nitakujibu swali langu kwa kueleza nafasi ya mbowe na alichokifanya kwa 20 years na kwanini aendelee kwa 5 years.
 
Ukimsikiliza vizur Heche ni kama kijana mwaminifu wa FAM..

Heche will make it, na atahusika ku iunganisha CDM...

Then after 5 years anakuwa boss wa chama...

Kaongea kwa tahadhari sana na ni kam ameburuza hiyo agenda ya kumsapot Lissu tofaut na wengi tulivyotarajia

Calculated move
Mbowe hawezi acha uenyekiti wa chama ndgu yangu otherwise ampate mrithi sahihi kutoka kwa familia yake au ndani ya too za waasisi.
Hata ipite miaka 20 hawezi toka,nathubutu kusema yu radhi kuua mtu kuliko kuiacha CDM eti mtu mwngine aichukue.
BADO HAMJAMJUA FAM
 
Ushauri wa nini sasa?
Chawa mbona mnatapatapa sana?
 
Back
Top Bottom