mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Gari zote zinaharibika beyond economic repair huoni ambavyo haukuwa serious na mali zako?Ndio imesha wezekana!
Beyond economic repair...
Wenzako wametengeneza kuaminika kwa wauza vipuli, anakopeshwa anarekebisha tatizo!
gari ikirudi deni linalipwa maisha yanaendelea..
Kama huna mapenzi na magari, hizo harakati zote utaona ni usumbufu mkubwa na lazima uyatelekeze tu!!
Nisikulaumu mkuu, na imani unafanya vizuri kwenye nyanja nyinginezo..