Kwa horse ya 6x2 trailet ya supper single ipo rated na Tanroad kubeba gross 48500kg , ya double ipo rated 50000 kg ni rahisi sana ku overload trela ya super single kuliko ya double bedNimedadisi sana kuhusu hili, super single kwa maana ya trailer nimeambiwa inabeba mzigo mwingi kwa sababu trailer inakuwa nyepesi kulinganisha na trailer yenye double tires
Cummins ni engine ya kimarekani ,wakati europeans wanaingia tier 3, emissions control , manufacturers pekee aliyekuwa na nozzle simple ku meet euro 3 standard alikuwa ni Peugeot(France) na tech yake ya unit injector , 'pump duce ellementer' (PDE)Cummins ni ya wamarekani mzee, kwenye scania 4 series inatafuta nini asee?
Kwenye trucking, trailer ndo gari yenyewe, trela zinazokodishwa huwa ni trela dhaifu na mara nyingi zinakuwa very expensive to maintain.Hizi Trailer za kukodi zipo wapi? Natafuta semi trailer ya box body
Gari za EU au Scandinavia huwa ziko well spec'd na zinakuwa hazijatembea sana, tatizo ni LHD.Mende ya mchanga haiwezi kukaa meza moja na semi kwenye kurudisha pesa .
1. ni gari ya gharama kuanzia manunuzi hadi service kwa sasa mende used ipo kwenye 120 plus , manunuzi tu
2. Ni gari ya msimu, kukinyesha mvua gari ya mchanga inapaki uani just like fuso tipper
3 njia inazopita mende za mchanga si rafiki kwa gari na vitu kama kuvunja diff springs, gearbox , crossmembers , center rubbers , chassis , boggies ni kawaida kwa tipper ya mchanga
Mende ni nzuri kama una project zako binafsi za ujenzi
Well speced ni kweli , ila kutembea hapana hao jamaa magari yao mengi yana km nyingi , ila kwa kuwa yanakuwa well speced gari hizo hata ukute ina km milion 2 , bado inakuwa smart.Gari za EU au Scandinavia huwa ziko well spec'd na zinakuwa hazijatembea sana, tatizo ni LHD.
Vipi kuhusu kuwa LHD, haiwezi kuwa accident prone kwa mazingira yetu ya kibongo.Well speced ni kweli , ila kutembea hapana hao jamaa magari yao mengi yana km nyingi , ila kqa kuwa yanakuwa well speced gari hizo hata ukute ina km milion 2 , bado inakuwa smart.
Hizi trailer za mTuruki vipi ubora ukilinganisha na German trailers used.Kwenye trucking, trailer ndo gari yenyewe, trela zinazokodishwa huwa ni trela dhaifu na mara nyingi zinakuwa very expensive to maintain.
Kupata trailer iliyosimama ati inakodishwa sio rahisi labda kama gari ilikuwa ni moja na labda imekufa au kupata ajali
Haha someties ni risk ila ukipata training jinsi ya kuendesha utaipendaVipi kuhusu kuwa LHD, haiwezi kuwa accident prone kwa mazingira yetu ya kibongo.
Trailer sio kama horse , tariler ubora unapimwa kwa componets au part zilizotumika kuunda tela hilo,Hizi trailer za mTuruki vipi ubora ukilinganisha na German trailers used.
Double tires ni mfumo wa matairi mawili yanayofungwa pamoja kwenye axle , nina uhakika umewahi ona kwenye basi au lori yale matairi ya nyuma au ya kwenye diff ni double !Nimesoma comment zote,ila cjaelewa super single na double tires ,nawasilisha jf
Kiongozi kongole kwa uelewa n shule unayotoa hapaDouble tires ni mfumo wa matairi mawili yanayofungwa pamoja kwenye axle , nina uhakika umewahi ona kwenye basi au lori yale matairi ya nyuma au ya kwenye diff ni double !
Super single sasa ni tairi moja lenye uwezo wa kufanya kazi peke yake , badala yale mawili kwa pamoja , neno super linatumika kuonyesha uimara wa tairi hilo
Huko america hata drive tryes huwa wanatumia super single, huku africa na ulaya super single inatumika kwenye trailer ,mbele au lifting tag axles.
Jf ingekuwa inatoa like Kwa rating mm ninge toa zote ,umetoa shule nzuri sana muheshimiwaDouble tires ni mfumo wa matairi mawili yanayofungwa pamoja kwenye axle , nina uhakika umewahi ona kwenye basi au lori yale matairi ya nyuma au ya kwenye diff ni double !
Super single sasa ni tairi moja lenye uwezo wa kufanya kazi peke yake , badala yale mawili kwa pamoja , neno super linatumika kuonyesha uimara wa tairi hilo
Huko america hata drive tryes huwa wanatumia super single, huku africa na ulaya super single inatumika kwenye trailer ,mbele au lifting tag axles.
Mkuu ushauri wako nimeufanyia kazi sana, Kuna gari nilichagua nikaomba nipate MOT nifanyie tracking online. Supplier akabaki kuniambia its still valid up to next year sijui mwezi gani huko. kila nikiomba anitumie namba niicheki hatumi. Nikaogopa nikakumbuka huu ushauri. Hivi hizi MOT huwa wanatuma kweli ili na sisi tujiridhishe. Tupe experience yako Mkuu."Kila unachokiona mbele yako kilishawahi kuwa kwenye truck"
Umeamua vyema kuwaza biashara hii.
Niongeze kidogo
Kuliko kununua gari used budget yako inatosha kuwapa TATA wakakupa gari mpya kwa 35m na trailer ukiunga unga utapata kwa 30m double tyres.
Super single ina changamoto nyingi sana kuliko unavyoweza kudhan!
Transcargo, Dangote hawana trailer za super single.
Ukiamua kuchukua gari used jitahidi kuipitia kila sehemu ikiingia barabaran usipate changamoto. Maghari yanayotoka Poland usichukue mengi yametumika sana.
Gari kutoka South Africa ukipata muungwana akakurekebishia kabla ya kulisafirisha ni gari bora kuliko mtumba wa Uingereza.
Ukiamua kuchukua Uingereza hakikisha MOT iko active hii gar imejaribiwa kwao na inafanya kazi katika barabara za Uk.
Scani 124 420, kuwa makina kuanzia 2002 hadi 2004 nying ni HPI ama red dot zinasumbua sana katika mazingira yetu.
6x2 chagua tag axle yaan teriaz nyuma ili uweze kubeba mzigo mkubwa.
Biashara ni nzuri ngumu, jitahidi ujibanze kwenye kampuni yenye kazi za uhakika. Kazi za dalali zitakufanya uchukie kazi.
Usimamizi jitahid mda mwigini uone gari nanufanye service.
Hayo machache kwa nilivyojionea barabaran.
Mkuu tunaweza kuwasiliana??? Nina experience na kazi hii zaidi miaka 10Mkuu ushauri wako nimeufanyia kazi sana, Kuna gari nilichagua nikaomba nipate MOT nifanyie tracking online. Supplier akabaki kuniambia its still valid up to next year sijui mwezi gani huko. kila nikiomba anitumie namba niicheki hatumi. Nikaogopa nikakumbuka huu ushauri. Hivi hizi MOT huwa wanatuma kweli ili na sisi tujiridhishe. Tupe experience yako Mkuu.
Mmh jamani ongea lugha moja bKwenye trucking, trailer ndo gari yenyewe, trela zinazokodishwa huwa ni trela dhaifu na mara nyingi zinakuwa very expensive to maintain.
Kupata trailer iliyosimama ati inakodishwa sio rahisi labda kama gari ilikuwa ni moja na labda imekufa au kupata ajali