Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri
1.Electrical installation
2.Auto Electrical
3.motor vehicle mechanic
Nasahauri ukasome:-
1. Electrical & Instrumentation (EI)
2. Mechanical Tools and Maintenance (MTM)
Kwamujibu wangu mimi, hizo zitakusaidia kwenye soko la ajira Mtaani, Viwanda, Serikalini na Hata kujiajiri.
 
Kozi tamu za uhakika wa kuweza kujiajiri moja kwa moja za veta.
1. Umeme wa majumbani (Domestic Electrical installation)
2. Umeme wa magari (Auto electrical)

Liwe jua iwe mvua, kama mhitimu yuko mjini ana uhakika wa wastani wa kiasi kisichopungua 20k kuingiza akiwa mtaani kila siku.

Mtaji hapo ni ujuzi, uaminifu, uchapakazi na simu ya mkononi inayopatikana muda wote. Kijana atatafutwa mpaka akatae kazi. Na ikiwa ni kijana wa kujiongeza tu, basi akiwa na usafiri wake wa pikipiki (ili kufika popote kwa haraka) na akiwa tayari kufanya kazi muda wowote (hata usiku), atakusanya maokoto mpaka basi.
 
Nasahauri ukasome:-
1. Electrical & Instrumentation (EI)
2. Mechanical Tools and Maintenance (MTM)
Kwamujibu wangu mimi, hizo zitakusaidia kwenye soko la ajira Mtaani, Viwanda, Serikalini na Hata kujiajiri.

Nasahauri ukasome:-
1. Electrical & Instrumentation (EI)
2. Mechanical Tools and Maintenance (MTM)
Kwamujibu wangu mimi, hizo zitakusaidia kwenye soko la ajira Mtaani, Viwanda, Serikalini na Hata kujiajiri.
Bro vp kuhusu vyuo kwenye izo course mbili apo ambavyo viko vizuri,learning & practical
 
Bro vp kuhusu vyuo kwenye izo course mbili apo ambavyo viko vizuri,learning & practical
Nirahisi sana kijana.
Ingiwa kwenye website ya veta, kisha angalia orodha ya vyuo na kila kozi wanazo toa kisha utachagua kutokana na mahaba yako kutoka kwamba unapenda kusoma nini.
 
Back
Top Bottom