Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #21
Ndugu shukran sana umeongea mambo muhimu. Naomba niulize vitu
Je watakao niuzia vifaranga si wanaweza kua washauri?
Ok. Maana kuna shughuli zingine nafanya so nilitaka kutengeneza kitega uchumi kingine hopefully nita vumilia. Muda huo labda nitaweka hata tumbuzi kadhaaHongera mkuu kwa uthubutu.
Najua huku kuna threads nyingi za ufugaji wa layers, lakini ngoja nitoe na mimi hints chache;
1. Initial capital investment lazima uwe nayo kwa angalau kuku mpaka waanze kutaga. Uwe na uhakika wa operating costs kama kununua vifaranga, chakula, chanjo, matibabu, usimamizi etc. Layers wanataga kuanzia miezi 5. So ukumbuke hapa hautaingiza hata shing kumi.
Nitafuata hili mkuu2. Anza kidogo kidogo (mfano vifaranga 100 tu), then uendelee ku expand kadri unavyo pata exprience ili kupunguza risk ya kupata hasara kwa mkupuo. Mambo ya pdf na Youtube utumie kama inspiration tu.
Lazima nishiriki mwenyewe, ila sema inabidi nioe tu maana kuna mambo binafsi yataenda kufeli bila msaidiz 😎3. Hata kama utamwachia mtu asimamie make sure mwanzoni unashiriki kwa 100% na baadae unakua unafuatilia on a daily basis. Never trust mtu yeyote.
Tafadhali naomba unipe mbinu ya kupata connection ya masoko. Nifanyeje4. At the same time unaweka nguvu kwenye uwekezaji, fanya utafiti na ufahamu wateja wako ni akina nani. Tengeneza connections kadri siku zinaenda. Hii ni muhimu sana.
Kwa nitafanya hivyo5. Kuwa na mshauri/mtaalam aliyebobea kwenye ufugaji ili kuwa mshauri hususani kuboresha uzalishaji na matibabu.
Je watakao niuzia vifaranga si wanaweza kua washauri?
Ahsante6. Lazima ujue machimbo ya vyakula vya kuku bei nafuu maana gharama za ufugaji wa kuku wa mayai zaidi ya 80% ni chakula na virutubisho.
Tafadhali kama kuna sehemu naweza pata hizo elimu, kama unazo docs shea nami or recommend me somewhere7. Take your time uongeze ujuzi katika mbinu za ufugaji hususani ulishaji, uchanganyaji wa chakula, magonjwa na dalili, chanjo zao etc. Hii itakusaidia wewe binafsi kama mwekezaji kwenye business hii.
Ngoja niishie hapa, wajuzi wengine waongeze.