Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

Hakikisha una nunua vifaranga kutoka makampuni makubwa. Tulinunua kwny kampuni ya kichina kuku walikua vzr na kuanza kutaga vzr but tulipofika trei 38 per day ghafla ikashuka mpaka 28.
Tulipofatilia kumbe ni marek's. so tukashauriwa tule kuku wote almost 2,000 coz not bad 4human.
Bahati mbaya kituo kikubwa kinachoweza kuhakikisha kama ni mareks ni pale vetenari Dsm so nilisafiri from Arusha.
Wakaniuliza nilinunua wapi vifaranga, nikawatajia kumbe lilikua kosa sbb yule mchina NA AMINI KWA NGUVU ILIYO KUU ALIWAONGA WOTE PALE sbb walinizungusha kunipa majibu kwa zaidi ya wiki 3 au 4 badala ya siku 3 mpaka 5 walizosema.
Bahati nzuri nikastukia gem na mimi nikapiga simu nakokujua siku hiyo hiyo wakanitumia majibu mareks +ve.
Wkt nafatilia majibu nikaja gundua watu wengi tumeumizwa mbaya zaidi hawakupewa majibu sahihi ili wafanye maamuzi sahihi ili kukwepa gharama zaidi.
Nimepata shida kuandika hii kitu sbb bado inaniuma tangu 2020 mpaka leo. Kawaida kuku kwangu afi wale haugui lkn hao wachina na vetenari waliniweza. Sijui ni wangapi ambao tuliumizwa na kutiwa umasikini na awa wapuuzi.
NARUDIA TENA NUNUA VIFARANGA KWNY KAMPUNI KUBWA. Na ili kuku wako wasife wala kuugua mara kwa mara USAFI UWE BIBLIA/QURAAN yako banda likiwa chafu chukulia kama mtu kakutukania mama ako mbele yako na mbele ya mama ako.
Mimi wanajua heri uibe mayai au kuku mwenyewe ila sio banda kua chafu ntakukata mshahara alaf nakusimanga mwez mzima sichoki.
 
Nilienda safari msimamizi akawa mzembe kuku 6 wamekufa kumbe maji alikuwa anaweka kidogo yaani hadi mda huu nami bado namsimanga tu bila kuchoka na nimempa last chance to prove her ability next time no excuse.
 
Mrejesho
 
Kuku wa mayai wanalipa sana kwa kiasi Fulani ila unahitaji kumeteini kwenye chanjo na chakula . Kuku wa Malawi ni wazuri sana kwenye kutanga mayai na hawahitaji umakini sana kwenye kuwatuza ila chanjo ni lazima wanaanza kutanga mayai wakiwa na miez mitano , mitano na nusu, mpk 6
Wanataga mayai Kila kuku sio chini ya 300, kwa mwaka
Jongoo kufika kg 3.5 mpk 5 kama atakula vizuri
Ila kuku hawa wanahitaji chakula cha kutosha Ili kukutangia mayai ya kutosha chakula kizuri layera , layer mash , chotara .
 
Hao vifaranga wa Malawi wanapatikana wapi kwa hapa Tanzania?
 
Vip biashara inaendaje Sasa? Una mabanda mangapi Hadi Sasa? Type uzoefu wako ili na sisi tujifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…