Nipe number za mmojaWapo sana sema wengi wapo kwenye nyumba zenye uzio
Nenda bank wakati unampa hela za kuweka kwenye account mwachie na business cardNipe number za mmoja
Asante comrade, Eid Mubaraq...!!Amigo Heshima Yako Mkuu.
Mleta mada una majungu sana, punguza maana kuacha najua huwezi
C/CARE alikuwa na changamoto gani?Nilisha mdate mmoja, alikuwa na Akili sana.
Shida ni Customer Care dadeki...utaomba Pooh
nadhani wanaringia pumzi mkuu...tatizo MTU mwenyewe na tabia yake
Changamoto yake kubwa ni wateja wake.C/CARE alikuwa na changamoto gani?
Akili ya pesa!! Yule mmachame ana akili yakutafuta hela, so kila mtu anaitwa darling and so on...Akili zake ulizipimaje?
Kwa nguvu zipi mkwe?Nimeoa wawili, maisha ni buli buli....
Na wewe weka ndani mchuchu huyo, si miaka yote atakuwa mtendaji wa benki...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ingekuwa wewe, kuhesabu mamilioni ya wenzako kila siku lazima akili zikuruke.
Hahah hapo nimekusoma mkuu.Akili ya pesa!! Yule mmachame ana akili yakutafuta hela, so kila mtu anaitwa darling and so on...
Ana nyumba nzuri gari nzuri, ila bado hawajamuoa!! Huwa ananisingizia sana kuwa nilimwachia gundu!! Nikamwambia gundu ni hiyo kazi yake.Hahah hapo nimekusoma mkuu.
Kwa nguvu zipi mkwe?