Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

Hujasomeka usisahau wanasoma sana miamala na salio kama huna shazi wala swaga ujiachie minazi huwa ni kwa wakwezi tu
 
Kazi fulani haimfanyi mtu kua na tabia mbaya au nzuri,ukiona mtu kapata kazi fulani akaanza maringo au ujeuri tambua kua ile ndio tabia yake hasa ila alikua hajapata tu nafasi ya kuionyesha,

Vijana wanasema pata hela tujue tabia yako au filisika tujue tabia ya mkeo,

Mtu hata akilewa akaanza kutukana basi mtu huyo anatukana coz ni tabia yake wala sio ajili ya pombe,sema hua anajibana tu ila akinywa pombe ndio anaonyesha tabia yake halisi.
 
C/CARE alikuwa na changamoto gani?
Changamoto yake kubwa ni wateja wake.
Kila mteja ana mwita Mpenzi, mara Darling mara love...
Ile lazima ikuchanganye!! Siku moja nimemtoa Lunch kwa pesa yangu, halafu akatokea jinga jinga mmoja huko akamlipia!! Yule fala akaonyesha tu kwa ishara kuwa keshalipia, yeye akaropoka Asante Mpenzi!! Aisee, jamani baby usijali ni mteja wetu!! Mteja wenu?? Dadeki!! By the way nilishindwa kumuoa simply kwa hiyo life style yake yakijinga na hadi leo hajaolewa!!
 
Hata ingekuwa wewe, kuhesabu mamilioni ya wenzako kila siku lazima akili zikuruke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo wamerukwa akili?
 
Back
Top Bottom