Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

Ongeza salio lako la akiba hapo benki, utawala kwa urahisi sana. Nimetumia njia hiyo kuwala enzi za ujana wangu. Ukishapata namba yake Mpigie tu akusaidie kukuangalizia salio la akaunt ukimwambia kuna mzigo unausubiria uwekwe kwenye akaunti yako. akikuta salio la kutosha hutahitaji kumtongoza, atajileta mwenyewe ili umkule
 
Kuringa ni tabia ya mtu, wala siyo kazi...
Ni kweli, kuringa kunaweza kuwa ni khulka ya mtu 'tabia yake ya asili', lakini yapo baadhi ya mambo ambayo huwa ni vichocheo vya kumfanya mtu aringe kama uzuri/urembo/usasa, elimu, sifa ya ukoo wake au kabila 'royal blood', ajira/mali/kipato, sifa ya jamii yake 'race: black/white', afya, utaifa/ukanda na mengineyo
 
Mmh[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuolewa wanaolewa ila ndoa zao nyingi hazidumu.
zinadumu sema huna kipaji cha kuwajua ke!! mlishaambiwa ''ishini nao kwa akili.''..weye waenda kichwa kichwa...ina maana huna akili!! sawa?? .hata housse girl wako unaemlisha na kumlipa atakukataa tu!...amini maneno yangu!!
 
Humu wamo wakumwaga hasa CRDB na NMB kuna mmoja ashawai kunizidishia msimbazi mbili nikasepa kimyakimya
Ulikagua Account yako ukaona kweli kakuzidishia maana wa hudumu wa banki wezi Sana unaweza ukaandika kwenye form unatoa elf 70 sasa yeye anatoa elf 90 wewe anakupa elf 80 kwaiyo ukihesabu utaona kakuzidishia wakati yeye kashaichukua elf kumi yako.
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Kwa kawaida ukisikia kuna harusi ya mdada wa benki mara nyingi yeye ndiye anakuwa anaoa siyo kuolewa.....sababu wanawezana na Marioo wapenda mtelemko tu
 
Hivi kwani bank teller analipwa kiasi.

Maana kuwa wana manjonjo
 
kabla sijafilisiwa na Jiwe , niliwala sana pale stanbic na premier branches kwa style hii
 
kabla sijafilisiwa na Jiwe , niliwala sana pale stanbic na premier branches kwa style hii
zinadumu sema huna kipaji cha kuwajua ke!! mlishaambiwa ''ishini nao kwa akili.''..weye waenda kichwa kichwa...ina maana huna akili!! sawa?? .hata housse girl wako unaemlisha na kumlipa atakukataa tu!...amini maneno yangu!!
zinazodumu ni zile ambazo mwanamme anakuwa ana akili lakini hana ishu hivyo anakuwa ameolewa , na ndoa ikivunjika hana pa kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…