Hawana pesa kama ni bank tellers sema wanaambulia mikopo. Madada wenye pesa ni wa NSSF maana wanakula mshahara si haba ni mikopo ya maana kweli. Bado zile training zao wanazoendaga fanya moro.Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
Duh mkuu siyo vizuri hivyo.Kuna siku aliniagizia Ununio, nikaenda kuhesabiwa USD 22,000. Yeye yupo Hotel moja hivi Executive Suite nikampelekea... Kwa dharau akapokea kwenye Lift ilivyofunguka tu kisha nikashuka nayo akaniambia niende Reception ameniachia nauli.
Nikawa na Mshawasho kufika Reception Dada anazingua mara aniulize sijui Mzigo uko wapi? Nikamwambia mpigie nimeshampa Mzigo wake mwenyewe ... Kampigia naona wameongea kidogo ananipa 'Msimbazi'.
Aisee katika Milioni 50 ananipa Msimbazi!!?? Hiyo kitu iliniuma nikajiambia ataingia 18... Sasahivi anajuta na hatokuja kunisahau katika maisha yake. Mbuzi kabisa.
😂😂😂😂😂😂😂Hii ishawahi kunikuta hii... After some time of building trust. Nlimfurahisha na roho yake.
MhhHakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huo
Unakanusha kwa maneno matupu, mimi nimeweka range: yaani kati ya 350K mpaka 700K, sijataja kiasi halisi 'actual', onyesha weledi katika kukosoa, bainisha unachokifahamu
mkuu nimestukaNimeoa wawili, maisha ni buli buli....
Na wewe weka ndani mchuchu huyo, si miaka yote atakuwa mtendaji wa benki...
Ndio hakuna bank inayolipa chini ya 1m before makato hakuna labda microcredit
Ok nmb bank teller kabla ya dec 2021 ndo walikuwa wanalipwa salary ndogo kuliko bank zingine walikuwa wanaanza na 800k after tax now wapo 1.2m crdb Wana 1.1m tpb Wana 1m tunachokiongea tuna uhakika nachoUnakanusha kwa maneno matupu, mimi nimeweka range: yaani kati ya 350K mpaka 700K, sijataja kiasi halisi 'actual', onyesha weledi katika kukosoa, bainisha unachokifahamu
mkuu nimestuka
ujue kuna km wa tano hivi hasa NMB yaani ukisha zaa tu taratibu unaanza kusukumizwa vijijini mwisho wa siku huna kazi. uku umri ukiwa baaado una,nguvu kbs.
True story halafu wengi wanakuaga sio wakare..kivile...Huwafikii wanaofanya kazi TRA
Umetisha, nimemuuliza rafiki yangu yupo CRDB Dodoma - Kondoa ameniambia inafika 1M+ na desimali, ahsante kwa kunihuisha, nilikuwa out-datedOk nmb bank teller kabla ya dec 2021 ndo walikuwa wanalipwa salary ndogo kuliko bank zingine walikuwa wanaanza na 800k after tax now wapo 1.2m crdb Wana 1.1m tpb Wana 1m tunachokiongea tuna uhakika nacho
Kweli, ila wakikunyaka tu huna kazi, hawacheleweshiYaani bank wanaokula rushwa ni managers na afisa mikopo wale mateller wao wamejichokea tu na afisa mikopo kwa kua rushwa ni nyingi sana
Nimetembea na maelfu ya Dola huko njiani aisee,unahangaika na hela za mtu ambaye hata hakuthamini.
Nimeokoka mkuuHivi kwani hairuhusiwi kujiteka au kujikaba na kujiibia? [emoji23]
Okay, hata hivyo nilikuwa natania tu mpendwa [emoji4]Nimeokoka mkuu
Nampenda Yesu[emoji23]
Ningekuwa wa kuiba basi ningeiba sana maana mtu mwenyewe hata kumbukumbu alikuwa hana.
Wauza mafuta kwenye Filling Station wanawake kwa wanaume sikuhizi wanaiba kiugumu kila mteja kabla na baada ya kuweka Wese mimacho kodo kwenye PumpBora wa benki maringo ya wanawake wanaofanya kazi kwenye vituo vya mafuta unayafahamu kweli
Kuna jamaa tulisoma nae Yuko benki fulani analipwa 1.3M kabla ya makato, msidharau benki msidhani benki ni Kama Halmashauri wanalipwa 700,000/-Ok nmb bank teller kabla ya dec 2021 ndo walikuwa wanalipwa salary ndogo kuliko bank zingine walikuwa wanaanza na 800k after tax now wapo 1.2m crdb Wana 1.1m tpb Wana 1m tunachokiongea tuna uhakika nacho
350,000 hao watakuwa internsUpi walaki 7 au tatu nanusu?
Sawa, binafsi sijadharau, naheshimu sana hali na vipato vya watu, baada ya makato anapoteza sifuri moja na chenchi kadhaaKuna jamaa tulisoma nae Yuko benki fulani analipwa 1.3M kabla ya makato, msidharau benki msidhani benki ni Kama Halmashauri wanalipwa 700,000/-