Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hawana pesa kama ni bank tellers sema wanaambulia mikopo. Madada wenye pesa ni wa NSSF maana wanakula mshahara si haba ni mikopo ya maana kweli. Bado zile training zao wanazoendaga fanya moro.Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
Bank hawana pesa njaa njaa tu labda wanaambulia vitip