Nyabiri
Member
- Apr 15, 2017
- 58
- 38
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo.
Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni ya ulinzi na kuanza kuiendesha kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 mwishoni,nilikuwa na wateja wa kawaida. Kutokana na uendeshaji kuwa na changamoto nyingi niliamua niliamua kufunga ofisi tangu mwezi November 2023 hadi sasa, hali hii ilinikatisha tamaa saana nikaamua kurudi kijijini kulima, tafadhal NAOMBA muongozo sahihi ambao naweza kuutumia kufungua tena ofisi na kuiendesha.nina imani humu kuna watalaam na pengne wazoefu wa kazi hiyo hivyo nitapata mawazo chanya.
Natanguliza shukrani.