Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

Niko hapa kuhitaji msaada wenu ili niwe mbobezi kama vijana wa mjini.
Mbinu bora ni kujiamini na kujifunza kuongea bila kuinamisha kichwa chini, ukiongea na mwanamke mwangalie machoni wala usipepese macho chini au pembeni au upate kigugumizi cha ghafla huo ni udhaifu.

Kingine vaa vizuri na ongea point tu. Kamwe usiongee sana.

Hiyo ni wewe ushindwe sasa.
 
Ahahahh sisi huwa tunatoa simu unampa mdada na yeye anajua kifwatacho anaandika namba tena anajibipu au anasev kabisa jina lake wengine wanajisev love
Sio unampatia pesa na baada ya hapo anajiongeza mwenyewe ?
 
Asante mwalimu,hakika uzee sasa kwaheri
Ngoja nivae kama kijana nikawatupie mistari na kuongea Kwa kujiamini.
 
Mimi mwanamke kunipa na kuwa na Mimi apambane kwelikweli wanawake wananiomba Mimi namba wananitongoza wao na sitoi namba kijinga wengine wanalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…