Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

Mkuu kwani unaongelea mademu gani? Au hawa maslay queen wanaotoa gonda
 
Tafuta mwanamke mmoja tulia nae,

pic za kuchezea nenda dating apps. Kuomba namba hovyo hovyo ckuizi ni ulimbukeni
 
mrembo ukimuomba namba akakwambia umpe yako alafu akawa hajakutafuta achana nae uyo usilazimishe mapenzi
Kwahyo kila demu ukimuomba namba akakupa au ukimpa unakuwa ushawaza kuwa nae kwenye mapenzi au ni huruma za wanaume au ndo mtaftaji hachoki boss
 
Ila hii ya kila mdada umuombe namba au utake namba yake hii nayo haifai kwann usimtafte wewe mwenyewe mmoja ukatulia nae kan ukijaza namba 30 ambazo hazina maana kwenye cm yako na moja yenye maana kipi bora
 
Mbinu pekee ni kujiamini mbele ya mwanamke hata kama unaongea pumba wewe jiamini na mwangalie usoni kisawa sawa yani mpaka yeye aseme moyoni hapa kazi ipo, asipo kupa namba usichukie wala kumjibu vibaya tabasamu alafu mtakie kilalaheri kistaarabu na kama ikitokea mnaendelea kuonana mpe salamu kama kawa alafu wewe endelea na mambo yako kama hujui kilicho tokea, ikipita wiki kadhaa mwombe tena hakika atakupatia .

Asipo kupa nenda kaoge katikati ya bahari



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom