Kwani utata upo wapi hapo?π€£π€£π€£ msomi mtata wewe
Aagh wapiii..!! Vipo vingi sana sivijuiUnajua kila kitu
Wewe toa mbinu yako mkuu mimi nimesema nampa bussiness cardπππ
Mkuu kwani unaongelea mademu gani? Au hawa maslay queen wanaotoa gon
Gonda ni nini?Mkuu kwani unaongelea mademu gani? Au hawa maslay queen wanaotoa gonda
Mkuu namaanisha hawa mademu wanaonuka kyuma bhanaGonda ni nini?
ππβππMkuu namaanisha hawa mademu wanaonuka kyuma bhana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
DuMkuu namaanisha hawa mademu wanaonuka kyuma bhana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kwahyo kila demu ukimuomba namba akakupa au ukimpa unakuwa ushawaza kuwa nae kwenye mapenzi au ni huruma za wanaume au ndo mtaftaji hachoki bossmrembo ukimuomba namba akakwambia umpe yako alafu akawa hajakutafuta achana nae uyo usilazimishe mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] self respectMimi mwanamke kunipa na kuwa na Mimi apambane kwelikweli wanawake wananiomba Mimi namba wananitongoza wao na sitoi namba kijinga wengine wanalia