Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
I think they need a different approach.........
Haiwezekani kama vioo vya jamii wawe wamefikia hapo......
OleSaidimu TZ
Sawa Mkuu OLESAIDIMU,
Kwa hiyo ukishakuwa msanii, ukiokosea unachukuliwa kama binadamu ambaye ni tofauti na sisi wengine??
Halafu katika jamii yetu hii, kuna wasanii wenye immunity kiasi kwamba hata wakikosea inakuwa sawa ila wengine hawatakiwi kukosea?
Bado nadhani kwamba tunahitaji approach ambayo itatoa fair judgement and treatment kwa kila mtu including wasanii!!
Labda kama tunasubiri wakishakufa (tena na wengine kwa makosa ambayo baadhi yetu tunaweza kuhisi kuwa yalikuwa ni makosa yao binafsi) tuingie mitaani kujianika juani!
Ni maoni yangu hayo,
Babu DC!!
Last edited by a moderator: