Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

I think they need a different approach.........

Haiwezekani kama vioo vya jamii wawe wamefikia hapo......

OleSaidimu TZ

Sawa Mkuu OLESAIDIMU,

Kwa hiyo ukishakuwa msanii, ukiokosea unachukuliwa kama binadamu ambaye ni tofauti na sisi wengine??

Halafu katika jamii yetu hii, kuna wasanii wenye immunity kiasi kwamba hata wakikosea inakuwa sawa ila wengine hawatakiwi kukosea?

Bado nadhani kwamba tunahitaji approach ambayo itatoa fair judgement and treatment kwa kila mtu including wasanii!!

Labda kama tunasubiri wakishakufa (tena na wengine kwa makosa ambayo baadhi yetu tunaweza kuhisi kuwa yalikuwa ni makosa yao binafsi) tuingie mitaani kujianika juani!

Ni maoni yangu hayo,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Shosti nawe uhv that kind of perception? Yes she had her tmy and called the shots! Thats in the past. anahitaj msaada wetu kama watanzania, kumlaumu na kumnanga hakusaidii lolote, people we need 2 change, tusilipe baya kwa baya!!



mistakes ni part ya maisha Mate .. mimi naweza nikafanya jambo alafu .. I just can't help asking myself some times : "what did I learn in this whole year? What did I get from my work and my life out of this thing ? Did I change? Did I want to change? Did I want to be changed?" Such stupid questions sometimes are very helpful yawezekana huyu bint kajiuliza hayo maswali and she deserves a 2nd chance ... muhimu ni kwamba anaonyesha "majuto" mtu mwenye kujuta akarudi akawa perfect ningumu kurudi kwenye zile enzi ....

kumbuka hakuna aliye 100% perfect chini ya jua ...


This is my line of thinking....

Tunaweza kutoa lawama, ila mwisho wasiku, mtu anahitaji msaada...

Je, kuna mtu hajawahi kukosea?? Na waliompa second chance walikuwa wapuuzi au aliweza kuwalipa?

Bado nahisi kuwa approach ya kuwaona waliopata shida kwamba wanastahili ku-perish ni mbaya kwa ujumla wake!!

Babu DC!!
 
Huyu dada, hakuwa na tambia nzuri katika jamii. Tulikuwa tukimsalimia anabaki kimya, anatuangalia kwa dharau sana, bilashaka nikutojijua. Ndugu zake wanapesa nyingi sana, kwanini wasimsaidie?
 
She is gettin a taste of her own medicine.. Hana haja ya kuchangiwa kwa kitu alichojisababishia mwenyewe na kwa kujua madhara yake. Inakua kama mchezo ss.. They party hard, sleep around with diff ppo, use drugs n spend money like ts no ones business then wakipata tatizo it becomes our business. Kuna watu wana shida na magonjwa hatari hadi huruma ila hawaonekani hawa majini watu ndo viherehere kutaka msaada.. It jus pisses me off
 
kwani britney, whitney (RIP), whinehouse (RIP) walichangiwa na wamarekani wenzie? aende zake rehab ebo, bangi avute yeye halafu sisi tumchangie wapi na wapi? kila mtu abebe msalaba (wa kujitakia) wake mwenyewe

armhouse
 
Rayc anaitaji ARVs ndio msaada mkubwa kwake..aache kuwahadaa wabongo.
 
Mkiitisha mchango wa kusaidia mateja woote Tanzania, nitatoa.
Ila kumchangia teja mmoja ni kuwa na double standards.
Kwanini nimchangie Ray C? Is she more "special" than other tejas?
Is her case different from all others? Au kwasababu ana watu wa kumtangaza
kwene redio? Si wamsaidie hao? Hana familia? Hana marafiki? Hana ndugu? Hana SAVINGS?
Mi kwakweli sichangi.
 
Kiukweli anahitaji msaada ila mie kwa mawazo yangu naona wa kuombewa zaidi yaani kiroho na mama yake ameshasema anamwamini Mungu 100% atamponya amsaidie kwanza apone kiroho, hapo sasa kupata watumishi waadilifu yaani wanaotoa huduma bure kama walivyopewa bure.Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.”—Mithali 10:1. naamanisha mama uanakazi ya ziada ya kuhakikisha mwanao anapona. Mie najitolea kumuombea
 
Simchangii hata ingekuwa nikitoa mimi ndo pesa ya kumtibia inatosha. Acha ajifie.
 
Mimi personal nipo tayari kumchangia Ray c .Agent wake ni nani?.mtu anaeaminika afungue account tumchangia.She needs help .mimi personal nipo tayari


Ur so funny.... kidding too...!! Can you help her..!!

Kwa lipi..? Fedha..!!?? umepotea...!!

Mwenzako ANAVUTA UNGA..... sijui huelewi...!! ukimpa hela au chochote anauza anafuata UNGA ... si wa chapati...!!

Dawa yake ni afungiwe na mwanaume ndani for a month kiuno chake kitatulia....!!

Sina huruma na hawa wasaniii, wanajiuza na uchafu kibao, mara wako naked, mawaponda starehe hovyo hovyo, at the
end Of the day mambo yakuenda mrama .....utasikia

MCHANGO, MCHANGOOO,.... INDIA., INDIAAA SANJUKI, sijui nn....!!

No way...Washike adabu ndio watajifunza...
 
Kuna mwingine mlimchangia aende india amepona,nimemsikia juzi clouds fm anajisifia amelipuka na amepulizia perfume ambayo imebadilisha hali ya hewa ya studio!Tatizo lao ni kujikweza na matanuzi so msiwalaumu wanaosema hawachangii, kuna maskin muhimbili wana magonjwa ya ajabu na hawana hata ndugu wa kuwapa msosi achilia mbali matibabu!She has to go n check her cd4 count
 
Walioathirika na hayo madawa wapo wengi sana na mnawatazama na kuwabeza kila siku ,leo hii kaathirika huyo sijui nani mnaona bonge ka issue acheni kujipendekeza kwa masupastaa uchwara saidieni mambo ambayo ni ya msingi kama yatima,mafuriko na mengineyo
 
Anavuna alichopanda, achagiwe ili iweje?

yaani amekunywa sumu..sasa ya nini aombewe..?mmmmh kweli humu ndani kuna wenye roho ngumu..tujifunze kusamehe..maana bila kusamehe hatuwezi kukamilika..lets show some love to our sister,yupo katika kipindi ambacho anahitaji msaada wa kila mtu.
 
Mkuu nenda Ocean Road hospital na kwingineko ukaone watu wanavyoteseka kwa magonjwa na wanahitaji faraja kama sio msaada na hakuna hoja iliyoletwa ya kuwasaidia, ije iwe huyu kwa mambo ya kujitakia. Mchango NO.
 
Sawa Mkuu OLESAIDIMU,

Kwa hiyo ukishakuwa msanii, ukiokosea unachukuliwa kama binadamu ambaye ni tofauti na sisi wengine??

Halafu katika jamii yetu hii, kuna wasanii wenye immunity kiasi kwamba hata wakikosea inakuwa sawa ila wengine hawatakiwi kukosea?

Bado nadhani kwamba tunahitaji approach ambayo itatoa fair judgement and treatment kwa kila mtu including wasanii!!

Labda kama tunasubiri wakishakufa (tena na wengine kwa makosa ambayo baadhi yetu tunaweza kuhisi kuwa yalikuwa ni makosa yao binafsi) tuingie mitaani kujianika juani!

Ni maoni yangu hayo,

Babu DC!!

Nakubaliana na wewe Babu.....kwanza heshima yako sanaaa

Nalia na wao kujisahau sana na kujiona kama wapo juu ya jamii hii....wanaishi kwa anasa...Kukosa adabu..wamejitengenezea class yao, kumbi za starehe na FM stations.......kumbe hawana fall back position!!!!!! Wakikwama kidogo tu vilio kutwa kucha kwa jamii hiyihiyo walioipa kisogo.

Kuna wangapi wanateketea kwa tatizo kama lake na hatuwajali?????
Sisi kama jamii tunafanya nini kwa ujumla wetu kwanusuru????
Huyu ni binadamu saaanaa kuliko hao walojazana Mirembe na Muhimbili achilia mbali vituo vya mabasi vilivyoajaa mateja.....huku mitaani ndo usiseme kwa sisi tunaokaa uswazi tu. Hivi lisingemkuta huyu mimi na wewe tungejadili hapa......why double standards among us???

Kwa hiyo kama ni approach iwe wholesome sio kwa huyu specifically...tatizo ni kubwa kuliko tunavyojadili hapa babu
 
Nendeni muhimbili muone watu wanavyoteseka na kuumwa
 
Back
Top Bottom