GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa enzi za imani kali angeenda kujifanya kama Yuda aliamua kufanyaKwani ulikuwemo masjid wakati akimwagika & kuserereka na hiyo kauli
Jitie tu kitanzi, au kunywa sumu ufe. Baada ya hapo utasahau kila kitu.'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
DuhJitie tu kitanzi, au kunywa sumu ufe. Baada ya hapo utasahau kila kitu.
Hapana ni tatizo dogo tu la kisaikolojia, linahitaji mshauri nasaha mzuri, au mganga wa magonjwa ya akili, hapo Dodoma kuna hospitali nzuri!!!Jitie tu kitanzi, au kunywa sumu ufe. Baada ya hapo utasahau kila kitu.
kumbe jamaa alizungumza haya hakiwa masjid dah!! Wanasiasa bhana.Kwani ulikuwemo masjid wakati akimwagika & kuserereka na hiyo kauli
Hivi hii kule kwenye kitabu cha waongo ipo mstari gani vilee??'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Tumuombee naye afe Ndio dawa inayoweza kukusaidia usahau.'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
Hao walikuwa wanajuwa hata kilichokea KABLA, achana na kile kilichotokea baadaye..!!huwenda hata waziri hakuwa anajua kinacho endelea au hadi anatoa hilo tamko ni kweli magufuli alikuwa mzima. Nini kilitokea baadae? Wanajua wao