Wanawake ni wasumbufu sana.
Hapo sio ajabu amekopi kwa jirani, kaona mtoto wa jirani ameandikishwa chekechea basi na yeye akaamua akuletee hilo wazo, huku tayari na shule ameichagua kichwani......kwa gharama zako....na likely itakuwa shule ghali.
Anashindwa kujua sababu binafsi zilizowasukuma jirani zake kumpeleka shule mtoto wa miaka 2.