hapanaWabongo watasema ni usalama, hata ww mwenyw akili yako 50% inaamini ni usalama
Kwa mfano mimi huwa nikienda Kilingeni Msata huwa naiaga familia kwa mtindo huosawa sawa
hahhha sawa mkuu nimekuelewaKwa mfano mimi huwa nikienda Kilingeni Msata huwa naiaga familia kwa mtindo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ulisema umestaafu?Kwa mfano mimi huwa nikienda Kilingeni Msata huwa naiaga familia kwa mtindo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
ofcz ni mtu wa system kweli afu sio jamaa yangu na wewe ni mtu ninaemfahamu tu as family friendsMikwara tu hiyo hana lolote huyo jamaa yako. Anataka umuone mtu wa system
kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
sawaNi watu wenye masifa kukuhadaa wana umuhimu kumbe ni mamtu ya hovyo.
Pokea tukuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
for sure mkuu mengine yapitePokea tu
Sio lazima uelewe kila kitu
Hawachelewi kuruka maghorofaWatu wa TRA watakua na majibu sahihi hapa😁
Mchawi aagi akienda kazini,ufreemasoni ni Siri yake, jambazi aui mtu asiye na pesaHuyo mtu wako atakuwa ni mchawi aliekubuhu ama ni jambazi sugu mwisho kabisa ni freemason!.. achananae ipo siku atakufanyia wewe hiyo kazi maalum!.. kama ni jambazi atakukatakata akunyonye damu!! Kimbia haraka sana!
Hiyo ina maana MAALUMU.kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Ni mwalimu?.kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
hapana ITNi mwalimu?.