Naombeni kujua ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume

Si wanaume mumjibu mwenzenu. Au nanyi hamjui, mkaishia kumzodoa? Nyie ndio baba zao hao mnawaita gen z. Mmeshindwa kuwalea na kuwapa misingi ya kuwa wanaume, hivyo wanalelewa na mitandao ya kijamii. Hivyo muelekezeni tu.
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜
 
Hapaa utasifiwa ni shababi au lijari, ila kitaalamu hilo ni tatizo,
Em jaribu kubadili life style. Lol
 
Tafuta demu huo ni upwiru
Kwa msaada wa matibabu dawa nnayo kwa bei chee
Unachezewa usiku ndo maana uume unadisa ovyo majini wanaudukua
Nichek pm wahi dawa ni chache!
 
Kuna mwenzako kaleta Uzi hapa,akisema ya kwamba Demu wake ana jamba jamba ovyoo..Mwambie akupe kidogo ukaitumbukize akujambie Tatizo litaisha
 
Tatizo kijana unashindia kuangalia picha za warembo world
 
Hiyo ni dalili kwamba muda wa kuoa umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…