Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Lofa wewe panda ndege mbona ziko kibaoKuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Mkuu mbina ukali wa maneno kuna shida gani..?Lofa wewe panda ndege mbona ziko kibao
Tafuta hela wewe
Malawi zipo, kuna basi inaitwa Suprise ni Dar-Lilongwe na leo ipo njiani from Lilongwe to DarKuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Mambo ya kusafiri nje ya nchi malofa wakae nayo mbali ooh bus bus mbona ndege zipoMkuu mbina ukali wa maneno kuna shida gani..?
Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Duuuh nitafika salama kweli boss?Panda Basi hadi Mbeya, kisha shukia mpaka wa Kasumulu. Vuka mpaka, chukua usafiri kwenda Karonga au Lilongwe. Kwenda South Africa Hakuna basi la moja kwa moja. Safiri kwa kupitia Zambia au Zimbabwe hadi Afrika Kusini.
Naomba nichangie nauli mkuu.sitaki mateso hata ni maisha tuMambo ya kusafiri nje ya nchi malofa wakae nayo mbali ooh bus bus mbona ndege zipo
NdioDuuuh nitafika salama kweli boss?
Asante mkuu.Malawi zipo, kuna basi inaitwa Suprise ni Dar-Lilongwe na leo ipo njiani from Lilongwe to Dar
Achana nae kipenzi changu.miss you big timeMkuu mbina ukali wa maneno kuna shida gani..?
Ngada je?Kwasababu mkienda South Africa hamna mnachorudi nacho zaidi ya kujiita 26 number, mara 38 mara 45 ndo kitu wanaenda kufanya na kuuza simu za wizi Brown town.
Sichangii lofa kwenda nje ya nchi sio sehemu ya malofaNaomba nichangie nauli mkuu.sitaki mateso hata ni maisha tu
kuna basi la kampuni ya Classic Dar to JohannesburgKuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Panda Surprise Dar to Lilongwe auDuuuh nitafika salama kweli boss?