Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

Kuna bus linaitwa Mkombe luxury. Lina route ya Dar to Johannesburg... Pia kuna direct route ya Train from Dar es salaam to south africa through Tazara. But its the most expensive train route in Africa inaitwa ROVOS rail...ni expensive kuliko business class ya ndege
 
Hivi inakua ni safari y’a siku ngapi hiyo? I wonder kama bus huwa linajaaga
Mkuu kuna hyo classic ya Zambia inajaza.balaa .mizigo ndo usiseme.ukituma mzigo wako unaweza kukaa mwezi store haujafikiwa.wako full full
Wazambia sometimes huwa wanakodi ndege kuja dar .
 
Fatilia hii route mkuu, utafika tu Kaburu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250525-220422.jpg
    Screenshot_20250525-220422.jpg
    303.9 KB · Views: 19
Kuna bus linaitwa Mkombe luxury. Lina route ya Dar to Johannesburg... Pia kuna direct route ya Train from Dar es salaam to south africa through Tazara. But its the most expensive train route in Africa inaitwa ROVOS rail...ni expensive kuliko business class ya ndege
Wee kwa lipi hasa? Kwann inakua expensive kiasi hicho kuliko ndege
 
Kwasababu mkienda South Africa hamna mnachorudi nacho zaidi ya kujiita 26 number, mara 38 mara 45 ndo kitu wanaenda kufanya na kuuza simu za wizi Brown town.
Ujinga ujinga tuu...
Kuna ndgu yangu alienda south ila kila time akawa narudishwa na mpaka sasa hana life kiufupi maisha yame mfilimba ulembe
 
Panda Surprise Dar to Lilongwe au
New force Dar to Kasumulu then
Ulemu bus Karonga to Johannesburg,
Jobela bus Karonga to Capetown
Matour bus Karonga to Johannesburg
Umesaidia sana mkuu
 
Wee kwa lipi hasa? Kwann inakua expensive kiasi hicho kuliko ndege
Ni train ya utalii, inakuwa na packages tofauti tofauti. Round trip ya bei ya chini kabisa ni karibu millioni 40 ya kitanzania.
 

Attachments

  • Screenshot_20250526-001151.png
    Screenshot_20250526-001151.png
    419.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250526-001137.png
    Screenshot_20250526-001137.png
    733.6 KB · Views: 19
Ni train ya utalii, inakuwa na packages tofauti tofauti. Round trip ya bei ya chini kabisa ni karibu millioni 40 ya kitanzania.
Mmh kuna watanzania wanatumia Hii kweli
 
Back
Top Bottom