Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #41
Lofa ni mtu wa aina gani mkuu?Inawezekana lofa
Lofa ni mtu wa aina gani mkuu?Inawezekana lofa
Utafika na MimbaDuuuh nitafika salama kweli boss?
Ahaaa yaani hapo k haiwezi salimika aisee.Utafika na Mimba
Hivi inakua ni safari y’a siku ngapi hiyo? I wonder kama bus huwa linajaagaK
kuna basi la kampuni ya Classic Dar to Johannesburg
Duhhhj...Ananiita lofa ila hapo alipo anadaiwa songesha
Unapenda k yako kusuguliwa na mabaazazi ya njiani wakina Bartazari EgongaAhaaa yaani hapo k haiwezi salimika aisee.
Navopenda k yangu mmmh hapana aisee
Mkuu kuna hyo classic ya Zambia inajaza.balaa .mizigo ndo usiseme.ukituma mzigo wako unaweza kukaa mwezi store haujafikiwa.wako full fullHivi inakua ni safari y’a siku ngapi hiyo? I wonder kama bus huwa linajaaga
Wee kwa lipi hasa? Kwann inakua expensive kiasi hicho kuliko ndegeKuna bus linaitwa Mkombe luxury. Lina route ya Dar to Johannesburg... Pia kuna direct route ya Train from Dar es salaam to south africa through Tazara. But its the most expensive train route in Africa inaitwa ROVOS rail...ni expensive kuliko business class ya ndege
Sasa unaipenda kwann si ulipewa tuu bure na raha ichapweeAhaaa yaani hapo k haiwezi salimika aisee.
Navopenda k yangu mmmh hapana aisee
Ngoja tumuulize huyu mwambaa ntakujibuKuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Huu mpaka nyokoo uwe makiiniDuuuh nitafika salama kweli boss?
Ujinga ujinga tuu...Kwasababu mkienda South Africa hamna mnachorudi nacho zaidi ya kujiita 26 number, mara 38 mara 45 ndo kitu wanaenda kufanya na kuuza simu za wizi Brown town.
Nenda Tunduma utazipataMimi nataka gari inayoenda Malawi Kwanza kusema kweli .south ila ipite Malawi kwanza.naona kama hakuna gari zinaenda Malawi sijui kwanini
Umesaidia sana mkuuPanda Surprise Dar to Lilongwe au
New force Dar to Kasumulu then
Ulemu bus Karonga to Johannesburg,
Jobela bus Karonga to Capetown
Matour bus Karonga to Johannesburg
Ni train ya utalii, inakuwa na packages tofauti tofauti. Round trip ya bei ya chini kabisa ni karibu millioni 40 ya kitanzania.Wee kwa lipi hasa? Kwann inakua expensive kiasi hicho kuliko ndege
Miss you too...Achana nae kipenzi changu.miss you big time
Mmh kuna watanzania wanatumia Hii kweliNi train ya utalii, inakuwa na packages tofauti tofauti. Round trip ya bei ya chini kabisa ni karibu millioni 40 ya kitanzania.
Great Southern Africa Train Adventures - Rovos Rail
Since its establishment in 1989, Rovos Rail has earned an international reputation for its truly world-class travel experiences. Bespoke train safaris through the heart of Africa combine magnificent scenery with the glamour and excitement of the golden age of leisure travel. In a series of...rovos.com