Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
Target Yako ni kutafuta wasafiri tu.

Wasafiri WaPo wengi humu.

Nenda pale kariakoo au magufuli terminal ulizia bus Za kwenda Zimbabwe.
Chukuwa Classic bus Iko poa Tu.

Utapanda Hadi Zimbabwe utapitia njia ya Zambia.

Ukifika Zim magari ni mengi Sana pale.
 
Malawi je boss?
 
Back
Top Bottom