Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Hata hivo mshukuru alikuvumilia miaka 8 unaichakaza mbususu bila posa wala mahari huyo ni mvumilivu, halafu wewe hiyo pesa inayokuuma huku ulikua bado mwanafunzi ni ipi au ulizopata za matumizi ndio hizohizo ulikua unampa kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa inayokuuma huku ulikuwa bado mwanafunzi ni ipi[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikatai, ila naitaji nimpe suprise ya jambo mkuu kwa upande wangu sijawahi msaliti kabisa, nahitaji kumpa zawadi yake
Haina haja ya kuhangaika kulipa kisasi sababu ya usaliti, labda kama umemfuma kitandani live kwakeli mwache, ila kama umesoma meseji za simu hizo zinatokea kwa wengi kimya kimya ,cha msingi ungejipima wapi kuna udhaifu uboreshe ukiona moyo hautaki tafuta mchumba bikra uoe maana ndo atakuwa hana wa kukusaliti nae kwa kipindi flani mpaka apate mashoga wa kumjaza sumu za kutafuta madanga.
 
miaka 8 unamla tu.....we ni hatari sana....umewekeza kwake sababu ni KITEGA UCHUMI? acha hizo dogo....jifunze na NYETO...no investiment needed..
 
Achana naye hakupendi ndiyo maana hata hakukuomba msamaha. Kama uliacha kumtafta endelea hivyo hivyo
 
Shida ni kuwa bado unampenda huyo dada so hata ukimlipizia wewe ndo utaumia zaidi,
Ni ngumu ila mpotezee tu ukimya wako utamtesa zaidi
 
Shida ni kuwa bado unampenda huyo dada so hata ukimlipizia wewe ndo utaumia zaidi,
Ni ngumu ila mpotezee tu ukimya wako utamtesa zaidi
mambo ya ukimya wangu utamtesa ni mambo ambayo siitaji kuyasikia ata, nahitaji na yeye apite kwenye kimbunga pia
 
mambo ya ukimya wangu utamtesa ni mambo ambayo siitaji kuyasikia ata, nahitaji na yeye apite kwenye kimbunga pia
Na asipopita je?huon utateseka zaidi?ni rahisi kudhan unaweza muumiza mtu but that is not always the case,unaweza kuta huyo mwanamke wala hajawahi kukupenda bali alikua anatafuta unafuu wa maisha kupitia wewe so hata umfanyeje mtu wa hivi hutamuumiza as hana hisia nawe
 
ishu hapa sio yeye kuwa na hisia na mimi au kutokuwa, the main issue hapa nataka kumpitisha kwenye tanuru lenye doruba kali, haijalishi ataumia kiasi gani i dont care, ila hapa dhumuni kuu ni yeye lazima apate malipo ya usaliti
 
Mapenziiii kaka tatizo uliweka mayai yako yote kwenye kapu moja sasa yamevunjika lazima uumie.
Hawa wanaadamu huwa hawana huruma utatenda mema weeee malipo ni maumivu. Next time usiwekeze sana hisia zako KWA mtu.... Muweke mtu kama kipoza mhemko tu then wekeeza kwenye maendeleo. Hutakaa uumie.
 
Naomba uwasiliane na yule jamaa wa revenge kwa ushauri zaidi
 
nimekuelewa sana ndugu, ila kwa ili lazima nilipe, lazima nimalizane nae hapa hapa duniani
 
Mnaokomalia sijui miaka nane mna matatizo ya akili sijui… mshaambiwa toka form 2 mlitaka amuoe wakiwa form 3???? mkuu hilo lishakengeuka na kama hujapata mchongo bado bhasi kuanza upya sio ujinga..
 
ishu hapa sio yeye kuwa na hisia na mimi au kutokuwa, the main issue hapa nataka kumpitisha kwenye tanuru lenye doruba kali, haijalishi ataumia kiasi gani i dont care, ila hapa dhumuni kuu ni yeye lazima apate malipo ya usaliti
Fanya utakachoamua kufanya ila maumivu yatakurudia. Revenge ni kutafuta dem mwingine kisu zaidi yake. Utulie na maisha yako
 
Fanya utakachoamua kufanya ila maumivu yatakurudia. Revenge ni kutafuta dem mwingine kisu zaidi yake. Utulie na maisha yako
ntatafuta demu kisu zaidi yake, na nitatulia na maisha yangu, ila lazima joto la jiwe alionje lazima nimpitishe kwenye kipupwe taabu aijalishi ni ndongo au kubwa, kwa asilimia 100 moyo wangu utapata faraja mnoo
 
Mnaokomalia sijui miaka nane mna matatizo ya akili sijui… mshaambiwa toka form 2 mlitaka amuoe wakiwa form 3???? mkuu hilo lishakengeuka na kama hujapata mchongo bado bhasi kuanza upya sio ujinga..
asante kiongozi kwa kunielewa.
 
Msamehe
 
Acha uchawi mkuu we move on tu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…