Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.

Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.
Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.

Kumuanzishia thread haijakaa poa.
Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.

Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.
Onesha kujiamini mpe mistari hapa laivu ye atakufata inbox
 
Back
Top Bottom